• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TCRA YATOA DOZI KWA WALEMAVU WILAYA YA MBARALI

Tarehe ya Kuanza: March 12th, 2019

Mamlaka ya Mawasilianao Tanzania (TCRA) Nyanda za Juu Kusini, imeendesha semina kwa walemavu wa Wilaya ya Mbarali katika ukumbi wa Polisi Rujewa siku ya tarehe 11/03/2019 ikiwa na lengo la kuwapa taarifa ya maendeleo ya sekta, haki na wajibu wao kama watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano.

Akizungunza katika semina hiyo Mkuu wa Kanda Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniaa Nyanda za Juu Kusini Eng. Asajile Mwakisisile alisema kuwa semina hii imekuwa na mafanikio makubwa na walemavu wengi wamepewa taarifa. Wanaamini changamoto zingine kama za makosa ya kimtandao yakiwemo pesa mtandaoni, usajili wa laini na yanayofanana na hayo sasa yatakuwa yamepata ufumbuzi.

Eng. Mwakisisile aliongeza kuwa ameelekeaza utaratibu wa namna ya kuwasilisha malalamiko yao na kufanyiwa kazi na mamlaka ya mawasiliano, na  yale yenye malengo ya kijinai yatafanyiwa kazi na Jeshi la Polisi.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imelenga kuyafikia makundi yote katika jamii, walipo mjiji, vijijini, maeneo ya pembezoni pamoja na  makundi yenye mahitaji hasa walemavu wa aina zote.

Namna ya kutambua simu harisi au bandia kwanza kabisa unatakiwa kuonyeza *#06#, Itatokea namba ya tarakimu 15. Kama simu ina laini zaidi ya moja zitatokea namba nyingi, iandike namba hiyo mahali, kisha Itume kama meseji kwenda 15090 baada ya hapo ujumbe utakaokuja utakuambia aina ya simu.

Hatua za kuchukua unapoibiwa simu ni pamoja na kuripoti kituo cha polisi haraka, kule utapewa RB amba ni hitaji la kisheria, adhabu faini laki 3-5 au jela miezi 6. Ni muhimu kuishika namba tambulishi ya simu yako, IMEI.

Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Uhalifu Mtandaoni watafuatilia shauri hilo. Unaweza pia kuifungia simu hiyo ili isiweze kufanya kazi huko ilipo. Simu ikipatikana unaweza kufuata taratibu za kuifungua.

TCRA imeweka msisitizo mkubwa kuhakikisha huduma za mawasiliano zilizo bora, salama na za gharama wananchi wanazozimudu na zinapatikana kila sehemu kwa makundi yote katika jamii. Mtumiaji una wajibu wa kuwa makini na kutobughudhi watumiaji wengine.

Mawasiliano kwa maendeleo-Tutumie fursa za maendeleo ya sekta kujenga ustawi wa maisha yetu na nchi yetu.

Mamlaka ya Mawasilianao Tanzania Nyanda za Juu Kusini inasimamia mikoa ya Katavi, Rukwa, songwe, mbeya, njombe iringa na Ruvuma.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.