• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tuelimishe Wananchi Umuhimu wa Kuandikisha Watoto Kupata Vyeti vya Kuzaliwa- Mfune

Tarehe ya Kuanza: October 24th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune siku ya tarehe 24/10/2018 katika muendelezo wa ziara zake kata za Luhanga, Utengule Usangu pamoja na Kongoro kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa tarehe 07/09/2018 kwenye kikao alichokiitisha na watendaji wa vijiji, watendaji wa kata pamoja na wenyeviti wa vijiji.

 “Vyeti vya kuzariwa vinatolewa bure kwa watoto wenye umri chni ya miaka 5, tuwaelimishe wananchi umuhimu wa kuandikisha watoto kupata vyeti vya kuzalwa kwani vina faida nyingi kwa siku za usoni, Viongozi wa dini muendelee kuwaelimisha waamini umuhimu wav yeti vya kuzaliwa ”

Akiwa katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya ameagiza kuwa, wakazi wote wa Wilaya ya Mbarali ambao maeneo yao yapo kwenye GN 28 ya 2008 (tangazo la serikali namba 28 la mwaka 2008) kuto fanya maendeleo ya kudumu ikiwemo kufanya ujenzi  kama shule, zahanati, makazi ya kudumu na mengineyo hadi pale muafaka utakapopatikana.

Kuhusiana na suala la lishe, Mhe Mfune amewataka viongozi wote kuanzia ngazi ya wilaya hadi vitongoji kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wananchi kwa kufuata mfumo wa siku 1000 tangu kuanza kutungwa kwa mimba hadi mtoto atakapofikisha miaka 2 ikiwa ni pamoja na kuelezea madhara ya mtoto kukua na udumavu kwa kukosa lishe kwani mtoto akishazidi miaka miwili ni vigumu keweza kurekebishika kama hakufuata vigezo vya lishe.

Katika ziara hiyo, Mhe Mfune hakufurahishwa na zoezi la ujenzi wa vyoo kwa Kata ya Luhanga kwani kata hiyo ina wakazi wengi ambao hawana vyoo. Wilaya ya mbarali kuna kaya 2000 ambao hawana vyoo, kati yao kaya 737 zinatoka kata ya luhanga ambapo ni sawa na asilimia 31 ya wakazi wote ambao hawana vyoo.

“Magonjwa mengi ya kuambukiza yanasababishwa na sisi kuto kuwa na vyoo, tunafanya vizuri kwenye mambo mengine ila suala la vyoo tunashindwa, tusichukulie poa, nyumba ni choo”

Mhe. Mfune aliagiza watendaji wote pamoja na wenyeviti kuongeza juhudi katika kusimamia ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji, ujenzi wa vyumba vya madarasa, masuala ya lishe kwa watoto, uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano pamoja na ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya.

MWISHO

 

 

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.