• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TUTAONGEZA UMAKINI KATIKA USIMAMIAJI WA MASHIRIKA MBALIMBALI YANAYOFANYA KAZI YA MAPAMBANO YA VVU, UKIMWI - Mtega

Tarehe ya Kuanza: October 13th, 2018

WATAALAM wa Afya na Wadau wengine wanaojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi wametakiwa kuongeza juhudi za kuwapima wanaume nyumba kwa nyumba kwani wanadaiwa kutoshiriki wakitegemea majibu ya wake zao.

Hayo yalisema siku ya tarehe 12/10/2018 mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Francis Mtega, alipokuwa anafungua kampeni ya “Furaha yangu Pima Jitambue Ishi” yenye lengo la kuwahamasisha wanaume kujitokeza na kupima afya zao.

Mtega alisema kupitia kampeni hiyo watafanikiwa kuthibiti maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kwa kuhakikisha wanatokomeza unyanyapaa na kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kufikia 90 tatu kama ilivyoelekezwa katika malengo makuu ya kidunia.

“Alisema 90 ya kwanza ni kuhakikisha watu wote wanaoishi na maambukizi ya vvu wanatambuliwa, 90 ya pili ni kuhakikisha watu wote wenye virusi vya ukimwi (waviu), wanaanzishiwa na kubaki kwenye huduma ya matunzo na tiba, 90 ya tatu ni kuhakikisha waviu wote walianza dawa wanafikia uvubavu wa vvu,” alisema Mtenga.

Aidha Mtega alisema kuwa Halmashauri hiyo, itaongeza umakini katika usimamiaji wa mashirika mbalimbali yanayofanya kazi ya mapambano ya VVU na Ukimwi kwa kuzingatia waliongia.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Godfrey Mwakalila, alisema mpaka sasa jumla ya wanaume 455 wamepima maambukizi ya Virusi vya ukimwi, lengo ni kuwafikia wanaume 2000 ifikapo juni 2019.

Alisema katika kutoa huduma ya upimaji wa maambukizi ya virusi vya ukimwi, jumla ya vituo 54 tayari vinaendelea kutoa huduma na kwamba asilimia 45 ya wanaume ndio wamejitokeza kupima huku wanawake ikiwa ni asilimia 65.

Mratibu wa kuthibiti ugonjwa wa ukimwi wilayani humo, Roman Kessy, alisema katika kuthibiti Ukimwi,   wanakaridia kufikia mwishoni mwa mwaka 2019 itakuwa na jumla ya watu wanaoishi na VVU kuwa ni 18, 396 wenye umri kati ya miaka 15-49.

Aliongeza kuwa katika kampeni hiyo wanatarajia kuwapima wateja 31,480, huku alibainisha kuwa hadi kufikia septemba mwaka huu jumla ya watu 57,559 walitambua hali zao za maambukizi ambapo kati yao wanaume wakiwa ni 27,793 na wanawake ni 29,799.

“Katika upimani huo jumla ya wateja 2,354 walikutwa na maambukizi ya vvu kati yao wanaume ni 993 na wanawake ni 1,361 lakini hadi sasa watu wanaoisihi na virusi vya ukimwi waliopo kwenye dawa ni 18,192,”alisema Kessy.

Mwenyekiti wa Mtnado wa Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (Konga) wilayani humo, Veronica Mkune, alisema kuwa changamoto inayowakabili ni usiri uliopindukia hasa kwa viongozi wa serikali hali inayosababisha unyanyapaa na ubaguzi katika jamii.

Aliongeza kuwa baadhi ya mashirika kuwafikia Waviu na kuwapima upya na kusababisha idadi kuwa kubwa ya maambukizi.

Mwisho.



Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DED MPYA AWASILI MBARALI

    June 30, 2025
  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.