• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tutimeze Wajibu Wetu kwa Kuhakikisha Watoto Wanasoma Mwezi wa Kwanza– Mfune

Tarehe ya Kuanza: November 4th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune siku ya tarehe 02/11/2018 alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za Rujewa, Ubaruku pamoja na Imalilo-Songwe zilizopo tarafa ya Rujewa kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji  kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa, Ujenzi wa zahanati, ujenzi wa vyoo, masuala ya lishe pamoja na uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5.

Mkuu wa Wilaya ameupongeza uongozi wa Kata ya Imalilo-Songwe kwa kufikia hatua nzuri katika ujenzi wa vyumba vya madarasa vinavyohitajika pamoja na kata ya Ubaruku kwa kufikia hatua nzuri ya ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari ya Mwakaganga, na ameutaka uongozi wa kata hiyo kuongeza vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Mbarali ili watoto watakaochaguliwa waweze kuanza masomo ifikapo Januari 2019

“Shule ya Mbarali Sekondari imejaa, niwapongeze mnafanya kazi nzuri katika ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Mwakaganga, ila ujenzi wa maabara na jengo la utawala havikwepeki ili shule iweze kufunguliwa kwa mujibu maelekezo ya  Mdhibiti Ubora wa Shule”

Mhe. Mfune amezitaka kata hizo kuendelea kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vinavyohitajika kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa  watakaopangiwa Januari 2019 wakute madarasa yamekamilika.

Kuhusiana na ujenzi wa zahanati, Mhe. Mfune amevipongeza vijiji vyote vilivyoanza ujenzi wa zahanati na amevitaka kuongeza kasi ili kufikia mwaka kesho ziweze kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Vilevile ameutaka uongozi wa Kata ya Rujewa kushirikiana na uongozi wa Mamlaka ya Mji Mdogo katika kujenga zahanati ili kupunguza mzigo katika Hospitali ya Wilaya ya Mbarali.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Wilaya amezipongeza Kata ya Ubaruku pamoja na Imalilo-Songwe katika kuhakikisha suala la kaya zao kutokuwa na vyoo linakwisha na amewataka kuongeza juhudi za kuhama kutoka kwenye vyoo vya asili na kufikia vyoo bora kwani kufanya hivyo kutasadia kuendelea kupambana na magonjwa ya milipuko.

“Ardhi ya Mbarali maji yanatuama na kusambaa sana, nyie ni mashahidi kwa kilichotokea mwaka jana, mwaka jana waliugua watu zaidi ya 800 ugonjwa wa kipindupindu, kabla hatujaanza kupata madhara lazima tujikinge, tuendelee kuhamasisha watu wetu kuhama kutoka kwenya vyoo vya asili kwenda  kwenye vyoo bora na itakapofika tarehe 01/12/2018 sitaki kusikia kuna kaya ambayo haina choo Wilaya ya Mbarali”

Vilevile Mhe. Mfune amewaagiza viongozi wote wa kata kuendelea kutoa elimu ya lishe pamoja na kuhamasisha wananchi kuwaandikisha watoto wao kupata vyeti vya kuzaliwa ambavyo vinatolewa bure kwani tunakoelekea hatutaweza kupata huduma yeyote kama hatutakuwa na vyeti vya kuzaliwa.

“Maeneo mengine wanahamisha vituo kwa ajili ya kuandikisha watoto kupata vyeti vya kuzaliwa, tengenezeni ratiba ambayo mtaibandika na kuitangaza kwa wananchi kila kijiji. Wenyeviti wa vijiji na wa vitongoji wawe wanapita kwenye kaya zao na kuuliza kama zina watoto ambao hawajaandikishwa kupata vyeti vya kuzaliwa ili waweze kuandikishwa”

“Tuendelee kutumia sehemu zetu za kuabudia kuelimisha na kuwatangazia wananchi kuhusiana na elimu za vyeti vya kuzaliwa, vyoo bora  na masuala ya lishe.”

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.