• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

“Viongozi wa Dini Mnao Mchango Mkubwa Sana Katika Mambo Mbalimbali, Mambo Mengi Sana Yameandikwa Kwenye Misaafu na Biblia, na Hayo Hayo Ndio Mambo Mema Ambayo Serikali Inataka Yaendelee Kufanyika Katika Nchi Yetu

Tarehe ya Kuanza: March 8th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune alipoitisha kikao na Viongozi wa Dini waliopo katika Wilaya ya Mbarali siku ya tarehe 07/03/2018 ili kuzungumzia masuala mbalimbali yakiwemo ulinzi, Usaama na amani, masuala ya Maendeleo zikiwemo huduma za kijamii, Utawala bora pamoja na Mazingira.

Katika kikoa hicho Mhe. Mfune amewashukuru Viongozi wa Dini kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwaelekeza waumini (wananchi) katika kutenda mambo mema ambayo Serikali inataka yatendeke, kwa Serikali inathamini sana mchango wa Viongozi wa Dini na inawategemea katika mambo mbalimbali, kwani mustakabali wa Ulinzi na Usalama upo mikononi mwetu.

“Kazi mnayoifanya Mwenyezi Mungu amewajalia kuitekeleza katika dunia hii na sisi kama Serikali tunaamini kwamba mnatisaidia katika uongozi wa nchi yetu” 

Mhe. Mkuu wa Wilaya amewaomba Viongozi wa Dini kuendelea kufundisha waamini wao kuhusiana na maadili ili tuweze kuwanusuru vijana wetu kwenye mamba mbalimbali hususani mimba kwa wanafunzi ili wasikatishe masomo yao, ulawiti, ubakaji, mavazi ya ajabu, kwani kupitia Viongozi wa dini itasaidia  kuwarudusha waamini katika mistali iliyonyooka.

Wakizungumza kupitia risala yao, Viongozi wa Dini wa Wilaya ya Mbarali wameishukuru Serikali kwa kuwajari na hata kuacha shughuli zingine na kutenga muda kwa ajili ya kujadiliana mambo mbalimbali yanayoihusu Wilaya ya Mbarali, kwani kitendo hicho kimeonyesha kuwathamini na kuwajali.

“tunawajibika wakati wote kuwa mawakala wa haki, amani na maridhiano kwa mustakabali wa Nchi yetu ya Tanzania, kwa mantiki hiyo sisi kama Viongozi wa dini  tutaendelea kuongoza na kusimamia jamii zetu katika kujenga na kusimamia maadili mema, tutaendele kuongoza jamii zetu katika kuwa mfano bora kuchukua dhamana kuhamasisha na kusimamia utu uhai na ustawi kwa ujumla”

Naye Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndg. Mganga Ngomuo amempongeza Mkuu wa Wilaya kwa kupitisha kikao na Viongozi wa Dini mbalimbali ili kuzungumzia mambo yanayoihusu Wilaya ya Mbarali yakiwemo, Ulinzi, Usalama na amani, masuala ya Maendeleo, na mambo mengine mengi yanayoigusa jamii.

Mganga Ngomuo amewaomba Viongozi wa Dini kuwaelimisha wanafunzi mashuleni hasa suala la maadili ili wengi wao wasikatishe masomo, kwani kwa sasa wanafunzi wengi hasa wa kike wamekatishwa masomo yao kutokana na tatizo la mimba,  ameomba kusaidiana na walimu pamoja na Viongozi wengine katika kuwarudisha watoto wetu kwenye mstali. Vilevile amewashukuru Viongozi wa Dini katika kuchangia na kuhamasisha waumini katika kuchangia shughuli za Maendeleo.

Daudi Nyingo

Afisa Habari na Mahusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

March 8, 2018

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.