• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WASIO NA VITAKASA MIKONO KUPIGWA FAINI MBARALI

Tarehe ya Kuanza: April 8th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewaagiza watendeji wote wa kata pamoja na vijiji kuwachukulia hatua wafanya biashara wote watakaobainika kukaidi agizo la Serikali la kuweka vitakasa mikono ambavyo ni ndoo yenye maji tiririka na sabuni au Sanitizer ambavyo vinatumika kusafishia mikono ili kujikinga na kuwakinga wengine na maambukizi ya Homa kali ya Mapafu (Corona).

Mhe. Mfune ameyasema hayo siku ya tarehe 07.04.2020 alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye maeneo ya biashara, vilabu vya pombe, bar pamoja na vijewe vya waendesha bodaboda vilivyopo barabara Kuu kwa ajili ya kutaka kufahamu kama wananchi wana uelewa kuhusiana na ugonjwa wa Corona (COVID 19), kukagua pamoja na kutoa elimu.

”Kuwa na vitakasa mikono sio ombi ni lazima, wale wote watakaokaidi watozwe faini na wafungiwe biashara zao, tusisubiri tatizo litufikie ndio tuanze kuchukua tahadhari, Mbarali tupo njia kuu, tupo kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa, tuendelee kuchukua tahadhari, na kuendelea kujiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima, kama huna sababu ya msingi ya kutoka ni bora ukatulia nyumbani, Corona haijali hadhi ya mtu, si mmeshasikia kinachoendelea kwenye mataifa mengine?.” Alisema Mhe. Mfune

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali. Ndg. Michael Semindu amewataka wauzaji na wanywaji wote wa pombe za asili pamoja wa wavutaji wa sigara kuacha kupokezana matumizi ya vitu hivyo badala yake kila mtu atumie kikombe au glasi ya peke yake kuepusha hatari ya kueneza ugonjwa wa Corona kwa haraka.

Semindu aliongeza kuwa,ni marufuku wateja kujazana kwenye chumba kimoja, ni vyema anagalau kila mtu akae mita moja na nusu na mwenzie, hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote watakaokaidi kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali.

Afisa Afya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Saidi Sadick alisema kuwa, sheria ya Afya ya Jamii ya 2009 inawataka wauzaji wa maduka ya madawa za binadamu, madawa ya mifugo, pembejeo za kilimo pamoja na maduka ya nyama kuwa na vitakasa mikono kwa ajili ya matumizi ya ndani mara baada ya kutoa huduma kwa mteja.

Kutokana na kuingia kwa ugonjwa wa Corona watao huduma hao wanatakiwa kuongeza ndoo moja ya ziada kwa ajili ya wateja wao na ni vyema kwa upande wa majumbani kila mtu akawa na kitakasa mikono anapoishi ili kuondoa hatari katika familia yake.

Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya amewapongeza wananchi wote wa Wilaya ya  Mbarali wanaoendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona na waliotekeleza agizo la Serikali la kununua vitakasa mikono kwa ajili ya kujikinga na kuwakinga na wengine.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.