• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

Tarehe ya Kuanza: January 20th, 2026



Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu amewataka wazazi wasiopeleka watoto waliotimiza umri wa kuanza darasa la awali na Msingi pia waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Kwanza kuhakikisha wanawapeleka watoto wao Shule vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwani ni wajibu wa mzazi kuhakikisha watoto wanapata Elimu .


Hayo ameyasema Leo alipokuwa akifanya Ziara ya kukagua Maendeleo ya wanafunzi walioripoti mashuleni mpaka Leo januari 20  kwa Shule za Msingi na sekondari Wilayani Mbarali


Akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Shule, watendaji Kata na Vijiji pia wataalam wengine Mheshimiwa Surumbu amewataka watendaji hao kuchukua hatua mara Moja kwa wazazi wasiotaka kuwapeleka watoto Shule


"tayari Shule zimefunguliwa tangu januari 12 na sare za Shule sio kikwazo maana maagizo yalishatolewa kuwa mwanafunzi asiye na sare za Shule apokelewe hivyo hivyo , nitoe Rai kwa wazazi kuhakikisha mtoto wako anafika Shule ndani ya muda uliopangwa na Ninaagiza watendaji Kata na Vijiji kuhakikisha watoto wote kwenye eneo lako wanapelekwa Shule , na kwa wazazi watakao kaidi wachukuliwe hatua kwa mujibu wa Sheria "


 Aidha Mheshimiwa Surumbu pia  alitembelea mahali ambapo Mradi wa Kituo cha Afya Igurusi kinatakiwa kujengwa na kutoa maelekezo Mradi uanze mara Moja .


Kwa upande wao wataalam kutoka ngazi ya Kata na Vijiji wameahidi kuchukua hatua mara Moja kwa wazazi wanao suasua kuwapeleka watoto Shule


Kwa siku ya Leo Mkuu wa Wilaya ametembelea Shule ya sekondari Ruiwa , Chamlindima na Shule ya Msingi Ilongo, Igarako na Jamuhuri Ziara hiyo inatarajiwa kuendelea siku ya Kesho .


Katika Ziara hiyo Mkuu wa Wilaya aliongozana na Afisa Elimu sekondari, kaimu Afisa Elimu Msingi na Kaimu Mhandisi wa Wilaya

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

    January 20, 2026
  • MBARALI YAJIZATITI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO .

    January 20, 2026
  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

    January 20, 2026
  • DED MWELI AKABIDHI GUTA, MILIONI 10 KIKUNDI CHA “WANAWAKE NI NGUZO” KATA YA MAWINDI.

    January 20, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.