• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATAKAOZIDISHA UJAZO KWENYE MALOBA YA MPUNGA (LUMBESA) KUKAMATWA MBARALI.

Tarehe ya Kuanza: May 1st, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune ameagiza kukamatwa kwa watu wote watakaozidisha ujazo kwenye Maloba ya mpunga kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria za vipimo ambayo faini yake ni kuanzia tsh 100,000 hadi milioni 50  pamoja na sheria ndogo za halmashauri ambayo faini yake ni kuanzia tsh 200,000 hadi milioni 1.

Mhe. Mfune ameyasema hayo siku ya tarehe 30/04/2020 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2019/2020 kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Rujewa kata ya Rujewa kwa ajili ya kujadili shughuli mbalimbali za maendeleo  zinazoendela katika Halmashauri

“Sasa hivi ni wakati wa mavuno, kuna watu wananjifanya wajanja kwa kutaka kuturudisha nyuma  kwa kuleta Maloba makubwa yenye ujazo wa zaidi ya kilo 100 yenye rangi sawa na Maloba yaliyoruhusiwa, sisi hatuangalii rangi ya mifuko, tutaipima, na kwa wale watakaozidisha uzito wa kilo 100 watapigwa faini na watachukuliwa hatua za kisheria. Nitawasiliana na meneja wa vipimo na naahidi kupamana na nao”

Kuhusina na suala la mapato Mhe Mfune ameagiza kuchukuliwa hatua kwa watu wote wanaorudisha nyuma zoezi la ukusanyaji wa mapato ya halmashauri, na kwa upande wa wazabuni wanaokusanya  mapato na bado hawajawasilisha fedha halmashauri, waziwasirishe haraka, na kwa  wale wanaokaidi kulipa waondolewe kwa mujibu wa sheria.

“huu sio muda wa kubembelezana, wale waliokuwa wanahistoria ya kusumbua katika masuala ya ukusanyaji wa mapato, sioni haja ya kuendelea nao tena, tuna watu wengi wenye uwezo katika wilaya yetu”

Kuhusiana na ugonjwa wa Corona, Mhe. Mfune amewataka madiwani wote kupambana na ugonjwa huo kwa kushirikiana na watendaji wa Serikali ili wananchi waweze kubaki salama kwani  Corona haina siasa na kama watashindwa kuwalinda wapiga kura wao litakuwa ni jambo baya sana.

Mkuu wa Wilaya aliongeza kuwa vita ya kupambana na Corona ni ya kila mtu na amewataka kuendelea kuwasisitiza wananchi kuvaa barakoa, katika mikusanyiko, maeneo ya kuabudu, masoko, minada, magurio, baa, vilabu vya pombe za kienyeji, misiba pamoja na kwenye vyombo vya usafiri  kwani maeneo hayo ni hatarishi.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.