• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WILAYA YA MBARALI YAMWAGA FEDHA KWA VIJANA

Tarehe ya Kuanza: May 8th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mh Reuben Ndiza Mfune amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni Ishirini na Nane na Mia moja Themanini Elfu (28,180,000/=) tarehe 08 Mei 2017 kwa Vikundi vya Vijana Wilayani Mbarali ikiwa kutekeleza agizo la kutenga asilimia tano (05%) kwa vijana kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya mapato vya Halmashauri.

Akikabidhi fedha hizo Mh. Mfune amewataka Vijana kutumia fedha walizopewa kwa ajili ya kuboresha Shughuli zao sababu dhumuni kubwa la kutoa fedha hizo ni kuboresha uchumi na watumie fedha hizo katika shughuli zilizopangwa na sio kugawana na kuzifanyia shughuli nyingine, kwani lengo la Serikali ni kuwainua watoke pale walipo na kupanda zaidi kiuchumi.

"Mbegu ukiipanda inaoza lakini kesho lazima iote ili itoa mazao zaidi, unapopewa mbegu hakikisha unaitumia vyema ili iweze ikuzalishie, tusiende kutumia fedha hizi  kugawana tukafanya shughuli nyingine, ni matumaini ya serikali mtatoka pale mlipo muendeleze zaidi” alisema.

Mh. Mkuu wa Wilaya alisisitiza kuwa pesa zilizotolewa ni lazima zilejeshwe ili ziweze kuwakopesha na wengene, Serikali imewajengea uwezo ili waweze kuendelea na anaamini fedha zilizotolewa zitatumika kama ilivyopangwa. Vilevile aliwataka vijana hao kuionyesha jamii kwamba wanaweza kusonga mbele.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg Kivuma Hamisi Msangi amewaasa vijana kuwa fedha walizopewa sio za kwenda kuolea au kunywea pombe, fedha hizo zitumike katika shuguli zilizopangwa na sio kuanza kupanga shuguli mpya. Vilevile amewajuza kuwa kuna fedha zimebaki wanatakiwa kuwaelimisha na wengine ili waweze kufaidika na fedha hizo za mfuko wa Vijana.

Ndugu Msangi ametoa angalizo kwa vijana hao kutojianzishia vikundi vyao binafsi, na atakaegundulika atachukuliwa kama ni tapeli, amewataka wajiunge katika kikundi kimoja tu na sio kujiunga katika vikundi zaidi ya kimoja kwa sababu kufanya hivyo ni kukiuka utaratibu.

Vikundi vilivyonufaika Mikopo ni, Amka Sasa, Chipukizi Group, Mwitikio Group, Juhudi Group, Maendeleo Group, Jipe Moyo, RIEF, na Kwa Pamoja Tunaweza.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.