• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Nyuki

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

KITENGO CHA UFUGAJI NYUKI

 

NDG. KENNEDY HINCHA

KAIMU MKUU WA KITENGO 

 

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UFUGAJI NYUKI

  1. Kitengo kinasimamia rasilimali za nyuki na mimea ya chakula cha nyuki kwa ajili ya maendeleoendelevu ya kiuchumi,kijamii na kuboreshamazingira.
  2. Ukusanyaji wa maduhuli ya Halmashauri,ukusanyaji na utunzaji wa takwimu mbalimbali za rasilimali za nyuki,
  3. Kusimamia, kuhamasisha wananchi kujiunga katika makundi au mtu mmojammoja kujishughulisha na ufugajinyuki.
  4. Kuhamasisha taasisi za utekelezaji, AZISE nawatu binafsi kuanzisha Manzuki za mfano bora na kukuza mchango wa ufugajinyuki kwa maendeleo na kupunguza umaskini.
  5. Kuhakikisha kuna upatikanaji endelevu wa mazao ya nyuki na huduma bora za uchavushaji zimeanzishwa na usimamizi wa manzuki za kibinafsi na wakulima kutumia nyuki katika kuchavusha mimea ili kuongeza uzalishaji na ubora wa mazao.
  6. Kutafsiri sheria,kanuni,sera na miongozo ya ufugajinyuki
  7. Kusimamia utekelezaji wa sheria,kanuni,sera na miongozo ya uhifadhi na usimamizi wa  ufugajinyuki
  8. Kusimamiauhifadhi wa nyuki na mazingira
  9. Kukuza uzalishaji wa mazao ya nyuki kwa njia za kisasa/mwafaka
  10. Kulinda maisha ya binadamu na mali dhidi ya nyukiwanaoweza kuwadhuru
  11. Kusimamia viwango vya ubora wa mazao ya nyuki
  12. Kuwezesha upatikanaji wa soko la mazao ya nyuki na kutoa taarifa kwa wafugaji wa nyuki
  13. Kufanikisha upatikanaji wa zana bora/kisasa za ufugajinyuki
  14. Kutambua mahitaji ya mafunzo kwa wafugaji
  15. kusimamia ukuzaji na usambazaji wa zana bora za nyuki kwa wafugajinyuki
  16. Kutoa ushauri kwa vyombovinavyohusiana na ufugajinyuki
  17. Kuwezesha uanzishaji na usimamizi wa Manzuki
  18. Kuwezesha uanzishaji na usimamizi wa hifadhi za nyuki
  19. Kuratibu taarifa mbalimbali za utekelezaji ndani ya Kitengo


MAJUKUMU YA SEKSHENI YA NYUKI – UZALISHAJI WA MAZAO YA NYUKI

  1. Kukuza shughuli za UfugajiNyukiwilayani
  2. Kutoa taarifa za upatikanaji wa mazao ya nyuki
  3. Kutambua mahitaji ya mafunzo kwa wafugaji wa nyuki na jamii
  4. Kutunza takwimu za ufugajinyuki
  5. Kutunza kumbukumbu za kazi za utafiti
  6. Kusimamia uzalishaji na uchakataji wa mazao ya nyuki
  7. kusimamia tafiti za rasilimali ya nyuki
  8. Kusimamia ugani wa ufugajinyuki


MAJUKUMU YA SEKSHENI YA NYUKI – UTOAJI LESENI NA USIMAMIZI WA SHERIA

  1. Kutafsiri sheria zinazohusu ufugaji wa nyuki kwa jamii
  2. Kutoa leseni za uvunaji wa mazao ya nyuki
  3. Kuelimisha jamii juu ya njia mwafaka za ufugajinyuki na uzalishaji wa mazao ya nyuki
  4. Kuandaa taarifa kwa Afisa ufugajiNyuki wa Wilaya
  5. Kukusanya maduhuli yatokanayo na mazao ya nyuki
  6. Kudhibit ubora wa mazao ya nyuki.
  7. Kudhibiti ubora wa zana za ufugaji nyuki

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI YA MKATABA YA MTUNZA KUMBUKUMBU (DATA ENTRY CLERK) NA TABIBU (CLINICAL OFFICER II) TAREHE 02-12-2022 November 28, 2022
  • RE-ADVATISEMENT JOB VACANCIES November 10, 2022
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI KATIKA KATA YA UBARUKU

    March 03, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI KANALI DENIS MWILA AKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI NA UPANDAJI WA MITI WILAYA YA MBARALI TAREHE 18/02/2023

    February 24, 2023
  • TIMU YA CMT MBARALI NA MENEJA WA MAJI WILAYA YA MBARALI WAKIKAGUA MRADI WA MAJI

    May 15, 2022
  • AFISA UTUMISHI NA UTAWALA

    June 09, 2022
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.