• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI MBARALI LAPOKEA TAARIFA YA UPOKEZI WA MATREKTA MADOGO YA MKONO (POWERTILLERS).

Tarehe ya Kuanza: January 9th, 2026



Kikao cha Dharura cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kimefanyika Leo Januari 9 ili kupokea taarifa ya mapokezi ya Matrekta madogo ya mkono (Powertillers) kutoka Wizara ya Kilimo Taarifa hiyo iliyowasilishwa na eng. Kalori Lihala Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali,

Kisha Baraza hilo kuazimia kugawa Matrekta madogo ya mkono (Powertillers) hizo mbili kwa Kila Kata ili kurahisisha shughuli za Kilimo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali 


Mapendekezo hayo yamefikiwa na Baraza hilo lililoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Twalib Tamimu Lubandamo .


Akizungumza wakati wa Kikao hicho Mheshimiwa Twalib Tamimu Lubandamo amesema

 " Tupeleke Kwanza hizi Powertillers mbili mbili kwa Kila Kata na zisimamiwe kwa karibu na Maafisa Kilimo wa Kata ili wananchi wote wanufaike na zana hizi za Kilimo na tupate matokeo chanya na ndipo tumalozie awamu ya pili kugawa haya matrekta madogo ya mkono mengine 36 yatakayokuwa yamebaki baada ya awamu hii ya Kwanza ya Powertillers 40 kutoka "


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli amesema

 " Sisi kama Wataalamu wa Halmashauri hii tunashukuru Baraza hilo kupokea taarifa hii kuijadili na kutupa maelekezo na tumeyapokea maelekezo haya na tutayasimamia na kuyatekeleza "


Ikumbukwe kuwa Desemba 12 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli alipokea Powertillers 76 kutoka Wizara ya Kilimo ili kuongeza matokeo chanya na kurahisisha shughuli za Kilimo cha mpunga ndani ya Wilaya ya Mbarali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.