• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DAS SICHALWE AMALIZA MGOGORO WA ARDHI ZAIDI YA EKARI 800 KATA YA LUHANGA, MBARALI.

Tarehe ya Kuanza: January 22nd, 2026



Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Ndugu Frank Mastara Sichalwe amefanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi Kata ya Luhanga Wilayani humo baada ya kuwakutanisha wananchi na Viongozi wa Kata hiyo na kujadiliana juu ya mgawanyo wa ardhi hiyo utakaosaidia kutatua changamoto ya malalamiko ya baadhi ya Wanakijiji kukosa maeneo ya kufanyia shughuli za kilimo na ufugaji.


Katibu Tawala Sichalwe alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu katika mkutano uliofanyika Januari 21, 2026 akiwa ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya hiyo ambapo wananchi hao walitoa kero ya kukosa ardhi ya kilimo huku wengine wakimiliki zaidi ya ekari 200 ambazo hazikuwa na ufafanuzi jinsi alivyozipata, jambo lililoleta mkanganyiko kwa wananchi hao.


“Hizi ekari 800 za ardhi fanyeni tathmini na uhakiki, wanaoikidhi vigezo wagawieni kidogokidogo walime angalau wapate chakula, vijana wanalalamika hawana maeneo ya kulima”, amesema Katibu Tawala Sichalwe.


Aidha ziara hiyo imefanikiwa kumaliza mgogoro huo uliodumu kwa muda mrefu kuhusu mgawanyo wa ardhi ambapo mwananchi mmoja alilalamikiwa kumiliki eneo la takribani ekari 800 na kuweka mipaka kinyume na utaratibu huku Serikali ya Kijiji ikilalamikiwa kutomchukulia hatua hali iliyopelekea wananchi kupeleka malalamiko yao ngazi mbalimbali na hatimaye Mkuu wa Wilaya hiyo, Brig. Jen. Maulid Surumbu kumuagiza Katibu Tawala, Frank Mastara Sichalwe kumuwakilisha katika kulitafutia ufumbuzi wa haraka ili wananchi warejee katika shughuli zao za kilimo kwa wakati muafaka.


Katika Mkutano huo, Katibu Tawala Sichalwe amewataka viongozi wa ngazi za Vijiji na Kata kuhakikisha wanatatua kero na changamoto za wananchi haraka na kwa mujibu wa Sheria na pia kujiepusha na kujihusisha na vitendo ambavyo vinapelekea wao kuwa sehemu ya migogoro badala ya kuwa watatuzi

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.