• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DAS SICHALWE AWATAKA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI KUBEBA SURA YA SERIKALI KWENYE UTENDAJI KAZI.

Tarehe ya Kuanza: December 13th, 2025



Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Frank Sichalwe amewataka watendaji wa Kata na vijiji pamoja na Watumishi wote katika ngazi za vijiji na Kata kuhakikisha wanafanya kazi vizuri katika ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.


Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Kata wote wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Sichalwe amesema watendaji wote wa serikali ni picha halisi ya Serikali kwani utendaji  wa kila Mtumishi, utoaji wa huduma ndio unabeba muonekano wa Serikali pamoja na Mheshimiwa Raisi,


"Sisi ni picha ya Serikali, ni picha ya Mheshimiwa Rais, ni picha ya Chama cha Mapinduzi, tusiitukanishe Serikali. Sura ya Serikali ni wewe unavyotoa huduma"  Amesema Katibu Tawala Sichalwe.


Aidha Katibu Tawala Sichalwe amewataka watendaji ambao ni wabovu wawajibishwe haraka iwezekanavyo ili kuhakikisha hakuna mzaha katika utendaji kazi na utekekelezaji wa majukumu ya Serikali. Hata hivyo, ameagiza Watendaji Kata kuiitisha vikao vya haraka kwa Watumishi waliopo chini yao ikiwa na lengo la kukumbushana majukumu ya kiutendaji hasa katika ukusanyaji wa mapato.


Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli amesema katika utendaji kazi kumekuwa na baadhi wa Watendaji hawana  umakini katika suala la ukusanyaji wa mapato na ndio wamekuwa kikwazo katika ukusanyaji wa mapato.


"Lack of seriousness (Kukosa umakini) kwa Watendaji wengi ndio unatuangusha" Amesema Ndugu Raymond huku akiendelea kusisitiza kuwa hata sita kuchukua hatua kwa Watendaji ambao wataonesha kukwamisha Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.


Kikao hicho kimefanyika leo  Disemba 16, 2025 kikiwakutanisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Wakuu wa Idara pamoja na Watendaji wa Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.