• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC AZITAKA KAYA ZINAZOWEZESHWA NA TASAF KUFUGA KUKU, BATA WA ASILI

Tarehe ya Kuanza: March 3rd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amezitaka kaya zote zinazowezeshwa na Mpango Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kujishughulisha na ufugaji wa Kuku pamoja na Bata wa asili kwani mifugo hiyo inastahimili magonjwa, soko lake ni kubwa na ufugaji wake hauna changamoto nyingi kama ilivyo kwa mifungo mingine.

Mhe. Mfune ameyasema hayo siku ya tarehe 02/03/2021 alipofanya ziara ya kuzitembelea kaya hizo katika Kata ya Ubaruki Kijiji cha Mpakani ili kusikiliza kero zinazowakabili sambamba na kujionea hatua za maendeleo walizofikia mara baada ya kuwezeshwa na mfuko huo.

 

“Kikubwa kilichonileta ni kuja kuwatembelea na kuwapa salamu za Serikali. Serikali itaendelea  kuwawezesha kwani kwa kiasi kikubwa wale wote ambao wamekuwa wakitumia fursa hii vizuri, wameendelea  kufanya vitu vikubwa zaidi. Endeleeni kujifunza na kutafuta shughuli nyingine, kwani kufanya hivyo kutawafikisha mbali.”

 

“Nimefurahi kuona mafanikio yenu, kila mtu kuna hatua ambayo amepiga, kuna wengine wamekarabati nyumba zao, wengine wanafuga mifugo na wengine wanajihusisha na ujasiriamali mdogo mdogo.”

 

“Changamoto ya magonjwa ya mifugo tutuwasaidia sababu wataalumu wapo. Kuhusiana na changamoto ya wizi nakwenda kulifanyia kazi, na nikiwa nalifanyia kazi muendelee kujilinda. Kwa wale ambao wana maeneo ya kutosha mujaribu kujiwekea wigo za maua, miba au hata tofari kwenye nyumba zetu.” Alisema Mhe Mfune

Naye mwenyekiti wa kijiji cha Mpakani Bwana Amos Mgongolwa amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kwenda kuwatembelea, kusikiliza changamoto pamoja na kujionea mafanikio waliyofikia wanufaika wa kijiji cha Mpakani ambao wanawezesha na mfuko wa TASAF.

Wanufaika wa mfuko huo  wamemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuwatembelea kwani kufanya hivyo kumewaongezea ari ya kufanya vizuri zaidi na wameahidi kufanyia kazi ushauri pamoja na maelekezo waliyopewa ili waweze kusonga mbele.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    July 03, 2025
  • DED MPYA AWASILI MBARALI

    June 30, 2025
  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.