• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED, DAS MBARALI WATOA WITO MADIWANI UKUSANYAJI WA MAPATO, USIMAMIZI WA MIRADI NA KUZINGATIA SHERIA.

Tarehe ya Kuanza: December 5th, 2025


Kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani kimefanyika leo Desemba 05, 2025 ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndugu Raymond Mweli na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Ndugu Frank Mastara Sichalwe wametoa wito kwa Madiwani kuwa waadilifu katika kutekeleza majukumu yao, kuzingatia ukusanyaji wa mapato na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.


Mkurugenzi Mweli na Katibu Tawala Sichalwe wametoa wito huo katika Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Madiwani Wilaya hiyo ambapo jumla ya Madiwani wateule 27 wameapishwa sambamba na zoezi la Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti limefanyika pamoja na uwasilishwaji wa taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu shughuli za Halmashauri hiyo.

 

"Sheria inawatambua na mna wajibu wa kuisimamia Halmashauri kiutendaji, kuratibu ukusanyaji mzuri wa mapato kutoka vyanzo mbalimbali na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo", amesema Mkurugenzi Raymond Mweli.


"Kuwa Diwani kwenye kata yako si kwamba wewe una akili au nguvu sana kuliko wengine, mmepata kibali kuwaongoza wengine hivyo ni jukumu lenu kutenda haki kwa wananchi wenu pia ni jukumu lenu kusimamia sheria katika ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa miradi ya maendeleo", amesema Katibu Tawala Frank Mastara Sichalwe.

 

Aidha Katibu Tawala Sichalwe amewaasa Madiwani hao kujiepusha na migogoro na taasisi mbalimbali na Watumishi wa Serikali ambapo kuwepo kwa migogoro ya aina hiyo hukwamisha utendaji na uwajibikaji huku Mkurugenzi Mweli akibainisha kuwa hatofumbia macho kumuwajibisha mtumishi yoyote atakayezembea kutekeleza majukumu yake ipasavyo.


Kikao hicho kimeendesha pia zoezi la uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ambapo Mhe. Twalib Tamimu Lubandamo ameibuka mshindi huku Mhe. Chuki Jeremia Mbwanjine akishinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.