• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MBARALI AFUNGUA MAFUNZO YA SIS KWA WATUMISHI WA KADA YA ELIMU MBARALI.

Tarehe ya Kuanza: January 17th, 2026


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndugu Raymond Mweli amefungua mafunzo ya mfumo wa ukusanyaji wa Taarifa za kielimu kwa kwa Maafisa wa Elimu Wilaya, Maafisa Elimu Kata,  Wakuu wa Shule, Walimu wa Takwimu na Wataaluma leo Januari 17, 2026 kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Rujewa.


Mfumo wa SIS ni mfumo wa kidigitali wenye lengo la kusaidia kuweka taarifa zote za mwanafunzi zitakazowezesha Waalimu kujua ni hatua gani zitumike kwa wanafunzi wanaoanza kwenda kinyume na maadili ya Elimu ambapo mfumo huu unasaidia kutoa taarifa za papo kwa papo za kielimu kwa mwanafunzi pia utaelekeza jinsi ya kuboresha Miundombinu ya kielimu ikiwemo uhitaji wa  majengo ya Madarasa, vyoo au kuajili Waalimu wapya.


Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa mafunzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Raymond Mweli amewapongeza Waalimu kwa kukubali kuyapokea mabadiliko na kusisitiza umuhimu wa kuyazingatia mafunzo watakayopata ili kuwafundisha na wengine.


"Dunia ya sasa ni ya kidijitali ni lazima kila kitu utakifanya kwenye mfumo hivyo ni lazima tukubali mabadiliko na twende nayo hayo mabadiliko ili tuongeze tija kwenye kazi zetu, pia niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya katika kuhakikisha Mbarali inaendelea kuwa Wilaya bora kielimu", amesema Mkurugenzi Mweli huku akiahidi kuendeleza ukaribu na Walimu katika kuboresha Sekta ya Elimu.


Kwa upande wake Deogratius Nyati, Kaimu Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Mbarali amesema mfumo huu utapunguza udanganyifu wa Taarifa za kielimu kwa wanafunzi na hata Walimu.


"Kupitia mfumo huu kila siku mkuu wa Shule au Afisa Elimu Kata atapata taarifa za wanafunzi wote na hata Walimu kuanzia mahudhurio yao na Maendeleo yao Kila siku ", amesema Ndugu Nyati.


Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Victor Mushi, Mtaalam wa TEHAMA pamoja na Ndugu Nyati, yamehusisha Kata nane ambazo ni Lugelele, Rujewa, Ubaruku, Imalilo songwe, Igava, Ipwani na Mawindi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.