• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MBARALI APOKEA VIFAA VYA TEHAMA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI MBARALI.

Tarehe ya Kuanza: December 12th, 2025



Katika moja ya jitihada za kuboresha Sekta ya elimu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndugu Raymond Mweli amepokea vifaa vya TEHAMA vitakavyotumika kufundishia  kwa Shule za msingi ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Maendeleo ya Elimu kupitia program ya BOOST.


Vifaa hivyo vilivyotolewa na Wizara ya Elimu ni pamoja na kompyuta, kamera na mashine ya kuchapisha ambapo vifaa hivyo vitasaidia wanafunzi zaidi ya elfu sita wa Shule zilizopo Kata za Mahongole, Igurusi na Rujewa.


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Mkurugenzi Mweli amewataka Waalimu wa Shule za Msingi zitakazonufaika, kutunza vifaa hivyo ili kuwasaidia wanafunzi kuvitumia kwa muda mrefu.


"Ulimwengu wa Karne ya 21 ni ulimwengu wa kidigitali, sisi Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kushirikiana na Serikali Kuu tumejipanga  kuhakikisha vifaa hivi vitatumika kama inavyokusudiwa ili tupate matokeo ya maarifa na ujuzi ambao wanafunzi wetu wataendelea kupata, pia tutahakikisha Shule zote za Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali vinawafikia na kupata wakufunzi wa kufundisha matumizi ya vifaa hivi ", amesema Mkurugenzi Mweli.


Kwa upande wake Kaimu Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Mbarali, Ndugu Deogratius Nyati amesema vifaa hivyo vitagawanywa kwa Shule tatu kutoka Kata tatu tofauti ili kuweza kunufaisha Shule nyingine zilizopo jirani.


"Mpango wa BOOST ni mpango endelevu, kwa awamu hii vifaa hivi vitapelekwa kwenye Shule ya Msingi Jamuhuri itakayohudumia Shule za Msingi 5 zilizopo Kata ya Mahongole , Shule ya Msingi Igurusi kwa ajili ya Shule 8 za msingi zilizopo Kata ya Igurusi na Shule ya Msingi Rujewa kwa ajili ya Shule 11 za Msingi zilizopo Kata ya Rujewa pale kutakua na madarasa ya TEHAMA kwa ajili ya kujifunza", amesema Ndugu Nyati.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.