• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE JIMBO LA MBARALI AFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI.

Tarehe ya Kuanza: December 18th, 2025



Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mheshimiwa Bahati Kenneth Ndingo amefanya Kikao kazi na watumishi wa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kuwataka wafanye kazi kwa uweredi na kuwajali wananchi .


Kikao hicho kilichofanyika Leo kwenye Ukumbi wa zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kuudhuriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli na Makam mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Chuki Jeremia Mbwanjine na watumishi wote wa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali


Akizungumza na watumishi hao Mheshimiwa Ndingo amewasisitiza watumishi hao kuhakikisha wanatembelea maeneo yenye Miradi ili kuhakikisha Miradi inakamilika kwa Wakati uliopangwa ili kuwapunguzia usumbufu Wananchi wa Wilaya ya Mbarali


"sisi kama Viongozi tunawategemea Sana ninyi katika kuzimaliza changamoto za Wananchi wetu hivyo Kila mmoja wetu analojukumu la kutimiza wajibu wake na ni jukumu la Kila mtu kwenye Idara yake kufika site za Miradi ili kusimamia utekelezaji wake uwe wa Ubora unaohitajika ,pia Tuhakikishe tunatatua migogoro mbalimbali inayojitokeza . Pia katika Utekelezaji wa Miradi hii Tuhakikishe tunawashirikisha Viongozi ngazi ya Kata Vijiji na hata Vitongoji pia wananchi ili wajue jinsi serikali inavyo Fanya kazi kuhakikisha wanapata huduma zote za kijamii  Yote haya yatawezekana kama tutashirikiana kwa karibu baina yetu "


Sanjari na hilo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli Amesema kama Halmashauri wamekusudia kuziba mianya yote ya upotevu wa mapato na tutahakikisha tunakusanya mapato kwa haki na kusimamia Miradi yote ya Maendeleo kuhakikisha inakamilika kwa wakati


"Sisi kama watumishi wa serikali jukumu letu namba Moja ni kuwatumikia wananchi na kuhakikisha tunatatua Kero zao zote hivyo kama Mkurugenzi sita vumilia vitendo vyovyote vya uzembe katika kusimamia Miradi ya Maendeleo na Ndio Maana Kila Miradi kwa sasa tumempa project manager wa kuusimamia na sitashindwa kumchukulia hatua mtumishi yoyote anayeipaka matope Halmashauri kwa kwenda kudai asilimia 10 kwa mafundi

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LIMEPITISHA MPANGO WA BAJETI YA WILAYA YA MBARALI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27.

    February 07, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • MADIWANI KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MBARALI.

    February 03, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.