• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Utawala na Rasilimali Watu

UTANGULIZI

Idara ya Utawala na Rasilimali Watu ni moja kati ya Idara 13 na vitendo 6 vinavyounda Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Idara hii inajumla ya sehemu nne ambazo ni Utawala, Usafirishaji, Mikuitano na Masijala. Malengo makubwa ya Idara ni kuziwezesha idara nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala kwenye ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

MAJUKUMU YA IDARA

  • Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali juu ya masuala yanayohusu rasilimaliwatu
  • kuratibu utekelezaji wa sera ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na sheria nyingine zinazohusiana na Utawala na Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
  • Kuhakikisha watumishi wanafanyakazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.
  • Kusimamia nidhamu ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali ili waweze kutoa huduma bora kwa jamii kwa kuzingatia kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma.
  • Kushughulikia na kutoa ufafanuzi wa malalamiko ya wananchi Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.
  • Kuhakikisha kunakuwepo na mahusiano bora kazini kati ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, wasimamizi na wadau mbalimbali.
  • Kufanikisha zoezi la upimaji wa vigezo kupata ruzuku ya maendeleo kwa vigezo vinavyohusu Idara ya Utawala na Utumishi.
  • Kufanya makisio ya mishahara ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kuwasilisha Hazina.
  • Kuratibu likizo za watumishi na kusimamia maslahi yao.
  • Kuhakikisha kuwa watumishi wapya wanaingizwa kwenye orodha ya mishahara kwa wakati.
  • Kuhakikisha kuwa watumishi walioacha kazi, waliokufa, waliohama na waliostaafu wanaondolewa katika orodha ya malipo ya mishahara kwa wakati.
  • Kuratibu huduma za Ulinzi, Usafi na utunzaji Ofisi, majengo na maeneo/viwanja vya ofisi na huduma za Usafiri
  • Kutoa huduma za ujumla za uangalizi wa vifaa vya ofisi na Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali
  • Kushirikiana na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma – Tume/Sekretarieti ya Ajira juu ya masuala yote yanayohusiana na Ajira na Uteuzi wa watumishi.
  • Kusimamia hatua/Mchakato wa kuwathibitisha na kuwapandisha vyeo/madaraja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali
  • Kusimamia mishahara na kushauri juu ya kusimamia mfumo/orodha ya malipo ya mshahara
  • Kusimamia utekelezaji wa mfumo wa wazi wa mapitio na upimaji wa utendaji wa kazi (OPRAS)
  • Kushughulikia na kuhuisha taarifa za watumishi kama Likizo za mwaka, likizo za uzazi na matibabu, ruhusa za mafunzo/masomo na watumishi kuondoka kazini
  • Kuratibu upatikanaji wa mafao ya watumishi (malipo ya pensheni n.k) na madai mengineyo
  • Kushughulikia upatikanaji wa huduma zinazohusiana na watumishi kuondoka kwenye utumishi (kustaafu, kujiuzulu n.k)
  • Kuratibu kamati ndogo ya Ajira na Uteuzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SALAMU ZA EID EL FITR

    March 31, 2025
  • DC MBARALI AANDAA HAFLA YA IFTALI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE,TASISI ZOTE NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU..

    March 28, 2025
  • DC MBARALI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA CHIMALA

    March 14, 2025
  • KIKAO CHA DCC KUPENDEKEZA MAJINA YA MAJIMBO WILAYANI MBARALI

    March 13, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.