• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Finance Planning and Administration committee

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

 

Mhe TWALIB TAMIMU LUBANDAMO

Mwenyekiti wa Halmashauri

 

KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO (FUM)

WAJUMBE WA KAMATI 

NA

JINA KAMILI

DIWANI WA KATA

JINSI

WADHIFA

1.




2.
Mhe. Bahati Mwalinginalyo
Ihahi

Me

MJUMBE
3.




4.




5.




6.


Ke

Mjumbe
7.


Me

Mjumbe
8.


Ke

mjumbe
9.


Me

Mjumbe
10.


Ke

Mjumbe


MAJUKUMU YA JUMLA

Kamati hii inawashirikisha Wenyeviti wa kamati zote za kudumu na inapaswa kukutana kila mwezi maramoja. Majukumu ya Kamati hii ni kama kamati zingine za kudumu na hivyo hairuhusiwi kisheria kufanya kazi/majukumu ya kamati zingine za kudumu. Kwa ujumla, majukumu yake ni pamoja na kusimamia na kudhibiti ukusanyaji wa mapato na matumizi ya mali ya Halmashauri kwa kupitia vikao vyake. 

MAJUKUMU MAALUMU YA KAMATI;-

  1. Kuweka mikakati na kupendekeza uongezaji wa mapato.
  2. Kuwasilisha mapendekezo ya Bajeti na mpango wa maendeleo kwenye Halmashauri ilikuidhinishwa na Halmashauri.
  3. Kusimamia utunzaji wa hesabu za fedha ikiwa ni pamoja na uhakiki wa mali za Halmashauri, ukusanyaji wa mapato, kufuta madeni na kuomba vibali maalumu kwa matumizi yanayohitaji kibali cha Waziri mwenye dhamana ya Serikali Mitaa.
  4. Kufikiria na pale inapowezekana, kupendekeza kwenye Halmashauri masuala yanayohusu Sheria Ndogo na utendaji katika ngazi za chini za Halmashauri.
  5. Kupokeana kuzingatia mapendekezo ya kubadili matumizi ya mafungu ya fedha (re-allocation) yaliyopo katika makisio ya liyoidhinishwa na kuyapeleka Halmashauri.
  6. Kufikiria na kupendekeza kwenye Halmashauri mikopo yote ya Halmashauri.
  7. Kuratibu mapendekezo kutoka kwenye kamati zingine kuhusu matumizi ya kawaida namiradi na kuyawasilisha kwenye Halmashauri.
  8. Kutoa mapendekezo ya vitega uchumi kwa madhumuni ya kuongeza mapato kwa mujibu wa sharia ya fedha za Serikali za Mitaa Na. 9 ya 1982 (38) kifungu 38.
  9. Kupokea na kujadili taarifa za wakaguzi wa fedha na mali ya Halmashauri na kupendekeza hatua za kuchukuliwa kutokana na maelekezo na maoni ya wakaguzi kwa mijibu wa Sheria za Serikali za Mitaa, Na 9 ya 1982 kifungu 48 (1).
  10. Kutoa mapendekezo ya aina ya bima na za kuchukuliwa na Halmashauri kwa ajili ya mali mbalimbali, kwa mujibu wa Kanuni za fedha (financial Memoranda) za Mwaka 1997 kifungu 310-315
  11. Kusimamia na kudhibiti maswala yote ya Mapato na matumizi ya Halmashauri kwa mujibu wa Kanuni na taratibu kama ilivyoelezwa kwenye financial Memoranda ya 1997 amri Na, 3 ( C)
  12. Kujadili na kupendekeza mabadilliko ya viwango vya kodi, Ada na Ushuru mbalimbali vinavyotozwa na Halmashauri, kama inavyoelekezwa kwenye financial Memeorada 1997 amri Na, 3 ( C)
  13. Kubuni na kupendekeza mpango wa kuanzisha na kuendeleza uhusuiano na Hamashauri nyingine.
  14. Kurekebisha na kusimamia makusanyo na matumizi ya Mapato ya Vijiji na miji midogo kwa mujibu wa sheria Na 7/82 kifungu cha 118 (1) (F).
  15. Kuteua wakaguzi wa fedha au mali za Serikali za Vijiji kwa mujibu wa sheria Na. 9/82 kifungu cha 45 (3)
  16. Kushuhurikia ajira ya watumishi wakundi C na kupendekeza kwa Halmashauri mambo yanayohusiana na ngazi za mishahara, kupandisha vyeo, masharti ya kazi na mafunzo ya watumishi.
  17. Kujadilina kutoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa kuhusu mambo yote ya kinidhamu ya wafanyakazi na watumishi.
  18. Kujadilina kutoa mapendekezo kuhusu maswala yanayohusu nyumba za Halmashauri.
  19. Kupokeana kutoa maamuzijuu ya mapendekezo ya watumishi wanaokwenda masomoni.
  20. Kujadili na kupendekeza maswala yote yanayohusu maslahi ya Jumla ya watumishi, ikiwa ni pamoja na mikopo, nyumba, usafiri, matibabu na rambirambi na motisha nyinginezo.
  21. Kupitisha mapendekezo ya kuthibitisha watumishi kazini baada ya kumaliza kipindi cha majaribio kulingana na miundo husika ya utumishi
  22. Kushughulikia maafa katika eneo la Halmashauri

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.