• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Imalilosongwe Ward

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

KATA YA IMALILO SONGWE

MHE. MBWANJINE C. JEREMIAH

DIWANI WA KATA



 

TAARIFA YA KATA YA IMALILO SONGWE

1. UTANGULIZI

Kata ya Imalilo Songwe ipo Wilaya ya Mbarali tarafa ya Rujewa upande wa Mgharibi umbali wa kilometa 20 kutoka makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali . Kata hii ipepakana na kata za Ubaruku upande wa mashariki, Luhanga upande wa Magharibi, Mapogoro upande wa kusini na upande wa Kaskazini imepakana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA).

Katika ngazi ya Kata ya Imalilo Songwe  kuna Viongozi ambao ni Diwani wa Kata, Afisa Mtendaji wa Kata na kwa upande wa Vijiji kuna Wenyeviti wa Vijiji pamoja na Maafisa watendaji wa Vijiji.

Kata hii ina Jumla ya watumishi 90 ambao ni; Mtendaji wa Kata 1, watendaji wa Vijiji 5, elimu 69, afya 2, Kilimo na ushirika 4, Mifugo na Uvuvi 2 pamoja na Maendeleo ya jamii 1.

Kata ya Imalilo Songwe ina Jumla ya Vijiji 5 ambavyo ni Kijiji cha Ibumila, Kijiji cha Mwanavala, Kijiji cha Walumba, Kijiji cha Urunda, pamoja na Kijiji cha Imalilo Songwe. Aidha kata hii ina vitongoji vipatavyo 37

Kata ina Jumla ya wakazi wapatao 11,439 kati yao wanaume 5,064 na Wanawake 6,375. Makabila yanayopatikana katika kata ya Imalilo Songwe ni pamoja na Kabila la Wasangu, Wakinga, Wamasai, Wanyakyusa, Wabena, Wasafwa, Wasukuma na Wahehe.

Shughuli kubwa za kiuchumi katika kata hii ni pamoja na Kilimo, ufugaji, Biashara pamoja na usafirishaji wa bidhaa za mazao.

Vyanzo vya Mapato katika kata hii inatofautiana kutokana na Kijiji kimoja hadi kingine, miongoni mwa vyanzo hivyo ni kama;  Kilimo, ufugaji, Uvuvi, faini/adhabu mbalimbali, kukodisha mashamba, pawatila za Vijiji, Ruzuku kutoka Serikali kuu (Halmashauri ya Wilaya) pamoja na misaada kutoka kwa Wadau mbalimbali.

Vivutio vya utalii vinavyopatikana katika kata ni pamoja na Mto Ruaha unaopatikana katika Vijiji vya Imalilo Songwe, Ibumila na Mwanavala.

Hali ya Ulinzi na Usalama ndani ya kata ni nzuri kabisa kwani hakuna matukio ya kuhatarisha usalama. Aidha kuna kituo cha Polisi kata ya jirani ya Ubaruku ambacho sambamba na majukumu mengine huhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao.

2. HUDUMA ZA KIJAMII ZINAZOTOLEWA PAMOJA NA FURSA ZILIZOPO

  A. ELIMU

Kata ya Imalilo Songwe ina Jumla ya walimu 69, shule za Msingi sita (6) pamoja na shule ya sekondari moja shule hizo ni kama ifuatavyo;

     i. Elimu msingi

  • Shule ya Msingi Ibumila
  • Shule ya Msingi Mahongole
  • Shule ya Msingi Mwanavala
  • Shule ya Msingi Songwe Imalilo
  • Shule ya Msingi Urunda
  • Shule ya Msingi Warumba

      ii.Elimu ya sekondari

  • Shule ya Sekondari Imalilo Songwe

     

    B. AFYA 

Kata ya Imalilo Songwe ina Zahanati 1 yenye watumishi 2. Magonjwa yanayosumbua katika kata ni pamoja na ARI, PNEUMONIA, CHICKEN POX NA na  Ce/E.

    

    C. KILIMO NA USHIRIKA

Idadi ya watumishi katika Idara ya Kilimo ndani ya kata ni 4. Kata hii ina wakulima wapatao 3,466 kati yao wanaume 1,463 na Wanawake ni 2003 vilevile kata ina Jumla ya skimu 3 za umwagiliaji. Mazao yanayopatikana ndani ya kata ni pamoja na zao la Mpunga, zao la Mahindi, zao la Mtama, viazi vitamu, zao la alizeti, karanga, ufuta pamoja na mboga za aina mbalimbali.

       Huduma zinazotolewa na Wataalam wa Kilimo ni ;

  • Huduma za ugani
  • Mashamba darasa juu ya Kilimo cha Kisasa
  • Hifadhi bora ya Mazao ya Chakula
  • Elimu juu ya ushirika
  • Ukaguzi wa vyama vya ushirika pamoja na ushauri wa namna ya kuviendesha na kuvisimamia
  • Elimu ya masoko na stakabadhi ghalani
  • Ushauri juu ya matumizi sahihi ya maji
  • Ushauri juu ya matumizi sahihi  ya zana za Kilimo na pembejeo
  • Ushauri juu ya Kilimo bora cha Mazao

    

     D. MIFUGO NA UVUVI

Idadi ya watumishi katika Idara hii ni 2 na idadi ya Mifugo iliyopo ndani ya kata ni kama ifuatavyo;

  • Ng’ombe                     18,564
  • Kondoo                       4,572
  • Mbuzi                          12,470
  • Mbwa                          629
  • Punda                          553
  • Bata                             109
  • Kuku                           6,998
  • Nguruwe                     402
  • Paka                            498
  • Kanga                          31
  • Njiwa                          143

Huduma zinazotolewa na Idara ni pamoja na;

  • Tiba kwa magonjwa dhidi ya Mifugo
  • Huduma mbalimbali za Mifugo kama kuhasi, kukata pembe, kwato na midomo, kupiga chapa Mifugo, kukata meno, kuzalisha, kuogesha na Ukaguzi wa nyama
  • Ushauri juu ya ujenzi bora wa mabanda ya Mifugo
  • Kutoa elimu ya ufugaji bora wa namna ya ufugaji wa Mifugo yenye tija
  • Ukaguzi wa Nyama na usafi katika Machinjio
  • Kusimamia zoezi Endelevu la upigaji chapa wa mifugo

Sekta ya Uvuvi ni mojawapo ya sekta zinazofanya kazi katika kata hii. Idara inaendelea kushauri wananchi juu ya uchimbaji bora wa mabwaya ya samaki kwa ajili ya ufugaji wenye tija.

   

    E. MALIASILI 

Idara haina mtumishi ambaye anahudumia kata.

Vivutio vingi vya utalii kama ifuatavyo;

Vivutio vya utalii vinavyopatikana katika kata ni pamoja na Mto Ruaha unaopatikana katika Vijiji vya Imalilo Songwe, Ibumila na Mwanavala.

Idara ina mikakati ya kuhifadhi wa mazingira ya Mto Ruaha kwa kuacha wazi eneo la mto umbali wa mita 60 kutoka chanzo cha mto sababu kuna faida nyingi kama mto huo utatunzwa vizuri ni pamoja na; kutunza Bayoanuwai (ecosystem), kuzuia mmong’onyoko wa udongo kuelekea mtoni pamoja na kutunza vyanzo vya maji vilivyo kandokando ya mto.

    

    F. MAENDELEO YA JAMII

Idara hii ina mtumishi mmoja tu, na kazi zinazofanya na ni kama ifuatavyo;

  • Uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka 5
  • Elimu ya ulinzi na usalama wa mtoto
  • Elimu ya kupinga ukatili kwa akina mama na watoto
  • Kutetea haki za wazee, watoto na jamii kwa ujumla
  • Kuhamasisha wananchi kujiunga na bima ya afya
  • Kuhamasisha wazazi kupeleka watoto shuleni
  • Kufuatilia shughuli za kiuchumi zinazofanywa na wanufaika wa Tasaf
  • Kufuatilia Utekelezaji wa Kamati za ukimwi vijijni (VMAC)
  • Kuhamasisha Wanawake, Vijana na Walemavu juu ya shughuli mbalimbali za ujasiliamali
  • Kuhamasisha shughuli za Maendeleo kwenye mikutano na vikundi
  • Kusimamia shughuli mbalimbali za Maendeleo vijijini

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.