• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC arudisha Ekali 290 za Ardhi Matebete.

Posted on: December 12th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune, amerudisha ekali 290 za ardhi zilizoporwa na wajanja wachache kwa kughushi nyaraka za Serikali katika Kijiji cha Matebete Wilaya ya Mbarali.

Mhe. Mfune ametoa uamuzi huo wa kurudisha ekali hizo siku ya tarehe 11/12/2019 alipofanya mkutano na wananchi wa kijiji cha Matebete kilichopo kata ya Itambolea alipokuwa akipokea ripoti ya tume aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza mgogoro wa ardhi katika kijiji hicho.

Mkuu wa Wilaya ameamuru kukamatwa kwa watu waliohusika na uporwaji huo wa mashamba ambao ni Bw. Karashi Tisho (Mfugaji), pamoja na watendaji wawili wa vijiji wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yao ambao ni Saturo Kereyenye na Raphael Daimon Molel.

Mkuu wa Wilaya ametoa siku mbili kwa Serikali mpya ya Kijiji kusimamia ugawaji wa ardhi kwa watu wote waliozulumiwa mashamba yao, na kwa yule aliegushi nyaraka na kujipatia ekali 300 apewe ekali 10 ambazo alipewa kwa mujibu wa sheria.

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION

    August 25, 2025
  • WANANCHI WA IGAWA WAPISHA BOMBA LA MAJI, WAPEWA FIDIA

    August 21, 2025
  • MAWASILIANO YA WAKUU WA IDARA

    August 19, 2025
  • UCHUKUAJI WA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI

    August 14, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.