• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

DED MBARALI AMEFANYA KIKAOKAZI NA TIMU YA USIMAMIZI NA UFUATILIAJI WA MIRADI PAMOJA NA TIMU YA MAPOKEZI YA VIFAA

Posted on: August 13th, 2025

DED MBARALI AZINDUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO KAMATI ZA UJENZI NA USIMAMIZI WA MIRADI VIJIJI NA KATA.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli amezindua kikao kazi chenye lengo la kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati za ujenzi na usimamizi wa miradi  ngazi ya vijiji na kata wilaya ya Mbarali kikao hicho kilichohusisha wenyeviti wa vijiji , Maafisa watendaji vijiji na kata na wataalamu wa afya na wataalam wa elimu


Akizungumza na wajumbe wa kamati hizo Ndug Raymond Mweli Amesema

"Sisi kama watumishi wa serikali tuna wajibu wa kuhakikisha miradi ya Afya na Elimu inakamilika kwa wakati tunafahamu serikali ya awamu ya sita chini ya Daktari Samia Suluhu Hassan  inatoa fedha nyingi kwenye miradi ya maendeleo hivyo tunawajibu wa kusimamia utendaji kazi wa mafundi na matumizi sahihi ya fedha na vifaa kazi pia malighafi kama saruji na matofali . Kila mmoja kwenye jamii akitekeleza wajibu wake ipasavyo na hatutakuwa tayari kukwamishwa na mtu awaye yote maana lengo letu miradi ikamilike ili kuwapunguzia adha wananchi wetu  "


Aidha Mkurugenzi huyo amewataka viongozi hao  kupeana ushirikiano wao kwa wao ili kufanikisha azma hiyo na kuwataka kikao hicho kutumika kama chachu na morali ya kufanya kazi .


Sanjari na hilo Afisa manunuzi wilaya amewataka watumishi hawa kuzingatia matumizi ya mfumo wa manunuzi uliowekwa na serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amewataka watumishi kufanya kazi kwa team work

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION

    August 25, 2025
  • WANANCHI WA IGAWA WAPISHA BOMBA LA MAJI, WAPEWA FIDIA

    August 21, 2025
  • MAWASILIANO YA WAKUU WA IDARA

    August 19, 2025
  • UCHUKUAJI WA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI

    August 14, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.