• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kuna kazi nyingi sana za maendeleo ambazo zinatakiwa kufanywa- Kilemile

Posted on: August 2nd, 2018

WENYEVITI wa vitongoji Wilayani Mbarali mkoani Mbeya wametakiwa kuachana na masuala ya siasa ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakipewa kipaumbele zaidi badala ya shughuli za maendeleo ambazo zinatakiwa kufanywa .

Hayo yamesemwa juzi na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali ,Ezekieh Kilemile wakati akifunga mkutano wa baraza la mamlaka ya Mji mdogo Rujewa wilayani humo ambacho pia kilikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa Mamlaka na makamu mwenyekiti pamoja na wenyeviti wa kamati.

Kilemile alisema kuwa kata ya Rujewa imekuwa ikijali zaidi suala la siasa huku shughuli za maendeleo ambazo zinatakiwa kufanywa kuendelea kusimama.

”Kuna kazi nyingi sana za maendeleo ambazo zinatakiwa kufanywa mfano ni ujenzi wa vyumba vya madarasa ambavyo havijakamilika hebu huo muda tutumie kukamilisha ujenzi wa vyumba hivi badala ya hizi siasa “alisema Katibu Tawala huyo.

Aidha Katibu Tawala huyo aliwataka wenyeviti wa vitongoji kuwapa ushirikiano madiwani wakati wa kusimamia shughuli za maendeleo katika maeneo yao.

Akizungumzia kuhusu misaada kutoka kwa wadau wa maendeleo Kilemile aliwataka viongozi kutopenda misaada kwani watakosa uhuru hivyo ni vema kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo badala ya kukaa kusubiri misaada wakati wananchi wana uwezo wa kufanya kazi na kuchangia.

“Nimekuwa nikijiuliza sana nyie viongozi kuogopa kuwaeleza wananchi juu ya uchangiaji wa maendeleo kisa tu mnasubiri misaada na kuwaacha wananchi wakati nao wanawajibu wa kuchangia maendeleo.

Hata hivyo Katibu Tawala huyo alisema Kata ya Rujewa inadaiwa vyumba vya madarasa sita ambavyo havijakamilika mpaka sasa changamoto kubwa ni kutowashirikisha wananchi kwa kigezo cha kusubiri misaada na tatizo kubwa lipo kwenye Kata ya Rujewa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali , Kivuma Msangi alisema kila mwenyekiti wa kitongoji asimamie shughuli za maendeleo kwenye eneo lake kwa kushirikiana na wananchi .

Aidha Kivuma aliwataka wenyeviti kuwapa ushirikiano watumishi katika suala zima zima la uhamasishaji wa shughuli za maendeleo ili uweze kusonga mbele zaidi.

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.