• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkuu wa Mkoa Apongeza Kasi ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 39 Mbarali

Posted on: February 10th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makallaamewapongeza Viongozi wa Wilaya ya Mbarali pamoja na wananchi kwa kazi kubwawaliyoifanya kuweza kukamilisha ujenzi wa vyumba vya Madarasa 39 kupelekeaasilimia 90 ya wanafunzi kuweza kujiunga na kidato cha kwanza kwa Mwaka 2018huku wale  watakaobaki wataweza kujiunga kuanzia tarehe 15/02/2018.

Mhe.Makalla ametoa pongezi hizo siku ya Ijumaa ya tarehe 09/02/2018 alipofanyaziara katika Kata ya Madibila alipokwenda kuona kazi inayofanywa na sekta yaelimu katika kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 39 unakamilika, nawanafunzi wote waliochaguliwa wanajiunga na elimu ya Sekondari ya kidato chakwanza kwa shule zote zilizopo Wilaya ya Mbarali baada ya wanafunzi 4200kukwama kujiunga na elimu ya sekondari.

Akiwakatika shule hiyo, Mh. Mkuu wa Mkoa ameweza kuweka Jiwe la Msingi kwenye Bweni(Hostel) la wanafunzi linalojengwa shuleni hapo ambalo hadi kukamilika kwakelitagharimu kiasi cha tsh. 75,000,000/= na hadi kufikia tarehe 09/02/2018limetumia kiasi cha Tsh 56,000,000/= Mbweni hilo litakuwa na uwezo wa kuhudumiawanafunzi 96, vilevile ameweza kukagua Ujenzi wa vyumba vya madarasa 3 ambapohadi sasa ujenzi umeweza kutumia kiasi cha tsh. 17,00,000/= pamoja na Ukaguziwa vyoo.

Kuhususwala la mipaka ya RUNAPA (Hifadhi ya Taifa ya Ruaha) amesema kuwa muda siomuda mrefu tutapata hati kwa Wilaya nzima ya Mbarali, kwani kipindi cha nyumailionekana mipaka iliyowekwa haikushilikisha maoni ya wananchi ndio maanaaliamua kuunda kikosi kazi ambacho kilipita katika Vijiji vyote kukusanya maonina kuongeza na wananchi. Kikosi kazi hicho kilikuja na mapendekezo mazuriambayo yataleta nafuu sana kwa wananchi kwani yameshapelekwe kwa Waziri mwenyedhamana kwa hatua zinazofuata.

Mkuuwa Shule ya Sekondari ya Madibila Mwl. John Gwimile amesema kuwa ujenzi wabweni la shule hiyo unatalajiwa kukamilika tarehe 15/02/2018 kwani hadi sasamafundi wapo kazini wanaendelea na kazi, na wale wanafunzi wa kidato cha sitawaliokuwa wanatumia madarasa kama mabweni watahamia katika bweni hilo jipya nakupelekea madarasa yaliyokuwa yanatumika kama mabweni kuwa wazi kwa matumizi yawanafunzi wa kidato cha kwanza kuingia.

DiwaniKata ya Madibila Mh. Erick Ngeliama alimshukuru Mh Mkuu wa Mkoa na uongozi waWilaya kwa kuja kutembelea Kata ya Madibila, na kusisitiza kuwa Maendeleohayana Mtu furani, itikadi, rangi, dini wala chama kwani tutakuwa tunakoseatukifuata utaratibu huo, ni jambo la faraja kuona watoto wote wanakwenda shulebila kuangalia anaesimamia maendeleo ni nani, cha msingi ni kuweke siasapembeni na kufanya kazi.

NaeDiwani wa Viti Maalum Mh. Paskalia Ngunguru amewashukuru wananchi na wazaziwote waliotoa michango yao kwa ajili ya kujenga madarasa pamoja na kutengenezaMadawati kwani watoto ni wengi waliofauru na wengi wanakaa chini vilevilehawana sehemu ya kulala, ni vyema kuendelea na michango bila kukata tamaa, wananchiwote wanatakiwa kuwahudumia watoto kwani tumewazaa sisi wenyewe.

Naobaadhi ya wananchi wa Kata ya Madibila waohudhuria mkutano huo wamemshukuru Mh.Mkuu wa Mkoa na Uongozi wake kwa kutembelea Kata ya Madibila, na wameombachangamoto zao zinazowakabili zikiwemo barabara ya kutoka Igawa hadi Madibilaambayo inapitika kwa shida kutengenezwa, maji shuleni kwa ajili ya matumizi yawatoto na mgogoro wa RUNAPA ambavyo vyote vilitolewa majibu.

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.