• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

PESCODE VICOBA YATOA MEZA NA VITI 52 MBARALI

Posted on: February 26th, 2021

Shirika lisilokuwa la Kiserikali linalojihusisha na utoaji wa elimu  ya uanzishwaji wa vikundi vya kijamii vinavyojishughulisha na uwekaji wa akiba, kukopesha sambamba na kutoa elimu ya usimamizi, ujasiliamali, mafunzo ya uongozi pamoja na uandaaji wa taarifa (PESCODE VICOBA) kwa kushirikiana na vikundi vya VICOBA  Mbarali wametoa msaada wa Viti na Meza 52 vyenye thamani ya kiasi cha shilingi 2,080,000 kwa shule ya sekondari ya Igomero siku ya tarehe 26/02/2021.

Akipokea Viti hivyo pamoja na Meza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amelishukuru shirika hilo la PESCODE VICOBA pamoja na vikundi vya VICOBA vilivyoshilikiana kutengeneza madawati hayo kwani kufanya hivyo kunaonesha nia ya kusaidia ukuaji wa elimu wilayani hapa.

 

“Kwanza  nawashukuru kwa kupata wazo la kutengeneza madawati, hili wazo limetokana na nyie wenyewe, hamjashinikizwa na mtu yeyote lakini mkaona kuna umuhimu wa kusaidia wanafunzi. Kupitia madawati haya vijana wetu 52 watakaa na kufanya shughuli zao za kusoma vizuri bila tatizo lolote.”

 

“Kuna taasisi nyingi zenye uwezo hazijaweza kufanya kama mlivyofanya nyie ambao sio taasisi kubwa, kutoa sio utajiri bali ni moyo, msichoke kusaidia jamii kwani kwa sasa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza wanaongezeka kwa kasi kila mwaka.  Ningependa siku nyingine tuitane kwenye jambo kubwa zaidi.” Alisema Mfune

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bi Anyubatile Seme amelishukuru shirika hilo kwa kuacha alama hasa kwenye akili za wanafunzi kwani kitendo cha kutoa madawati 52 ni kikubwa sana na ni chachu kwa mashirika menginge kuiga mfano  huo mzuri kwani walichokifanya PESCODE VICOBA kitasaidia kupunguza uhaba wa madawati.

Akisoma Risala kwa niaba ya wanachama wa vikundi vya VICOBA, Bwana Elieza Kagusi alisema kwamba PESCODE VICOBA ilianza kufanya kazi katika Wilaya ya Mbarali mwaka 2014 katika kata 13 na mpaka sasa wameanzisha na kusimamia vikoba 50 ambavyo vipo kata za Mahongole, Madibira, Ubaruku, Rujewa, Lugelele, Mapogoro, Chimala, Ihahi, Itamboleo, Utengule Usangu, Igurusi na Kongoro Mswisi.

Bwana Kagusi aliongeza kuwa shirika lao linajishughulisha na utoaji wa elimu  ya uanzishwaji wa vikundi vya kijamii vinavyojishughulisha na uwekaji wa akiba, kukopeshana na pia kutoa elimu ya usimamizi, ujasiliamali, mafunzo ya uongozi pamoja na uandaaji wa taarifa

Katika Halfa hiyo ya makabidhiano Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewashukuru wananchi wote wa Mbarali wanaohamasika katika ujenzi wa miundombinu ya shule za sekondari pamoja na uchangiaji wa madawati kwani kwa sasa hali inaridhisha.

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.