• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Tusisubiri Kukumbushwa Mambo Ambayo Tunajua ni Wajibu Wetu. Mfune

Posted on: September 7th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune kwenye kikao kazi alichokiitisha na watendaji wa kata na vijiji siku ya tarehe 07/09/2018 kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo pamoja na kukumbushana majukumu ya kila siku ya kila mmoja.

Mambo ambayo yalijadiliwa ni pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa mwaka 2018/2019, ujenzi wa vituo vya afya kwa kila kata, ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji, masuala ya lishe bora kwa watoto, uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka 5, utaratibu wa kusikiliza kero na malalamiko kwa wananchi kwa ngazi wilaya, kata na vijiji, suala la usafi wa mazingira kwa kila kata na vijiji na utekelezaji wake kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi, ulinzi na usalama wa mali za umma, ujenzi wa vyoo bora, migogoro ya Ardhi, mifugo pamoja na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.

Katika kikao kazi hicho, Mkuu wa Wilaya amewataka watendaji wote wa vijiji na kata kuhakikisha ujenzi zahanati na vyumba vya madarasa unakamilika kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma pamoja na wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu watakapochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza wakute vyumba vimekamilika na vipo tayari kwa matumizi.

Mhe. Mfune ameagiza zoezi la usafi wa mazingira lisimamiwe kwa ukamilfu na kila ifikapo Jumamosi ya mwisho wa mwezi atakuwa anafuatilia ili kuona utekelezaji wake na atakaekutwa eneo lake halijafanyiwa usafi ifikapo saa nne asubuhi atachukuliwa hatua za kisheria.

Kila mwananchi anatakiwa kushiriki usafi katika kaya yake na maeneo ya jumuiya yaliyopangwa, na kila mwenyekiti wa kitongoji asimamie na ahakikishe zoezi la usafi linafanyika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.

kuhusiana na vyoo bora, ilielezwa kuwa choo bora ni kile chenye sakafu inayosafishika, kuta imara, kiwe na paa za bati, kuwe na mlango unaofunguka na kufuna ndani na nje, kiwe na usiri pamoja na kuwa na kifaa cha kunawia mikono.

"Siku ya Alhamisi ni siku ya kusikilizwa kero na malalamiko kwa ngazi ya wilaya, siku ya jumatano ni siku ya kusikilizwa kero na malalamiko kwa ngazi ya kata na siku ya jumanne ni siku ya kusikilizwa kero na malalamiko kwa vijiji vyote" 

"Mtumishi wa umma ni marufuku kuondoka kwenye kituo chako cha kazi bila ya kufuata utaratibbu uliowekwa kwa mujibu wa sheria"

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI MHE KANALI MAULID HASSAN SURUMBU AKIPANDA MTI WAKATI WA KUTEMBELEA MRADI WA KUSINDIKA MAZIWA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA UNAOTEKELEZWA NA KIKUNDI CHA NOPADEO WOMEN GROUP CHA KATA YA ITAMBOLEO KIJIJI CHA MATEBETE

    June 06, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIPANDA MTI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.