• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbarali District Council

  • Home
  • About Us
    • Our History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administrations
    • Organization Structure
    • Departments
      • Finance
      • Administration Natural Resources
      • Works and Fire
      • Primary Education
      • Economy Planning and Statistics
      • Land and Natural Resource
      • Agriculture
      • Secondary Education
      • Hearth
      • Rural Water and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Environmental and Solid Waste
    • Units/Sections
      • Procurement and Surprises
      • ICT Units
      • Law
      • Internal Auditor
      • Bee
      • Election
  • Investment
    • Tourism
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
      • Primary Education
      • Secondary Education
    • Water Services
    • Agriculture
    • Livestock and Fisheries
    • Staff Services
  • Councilors
    • Councilors List
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Permanent Committee
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Councelors Time Table
      • District Chair Personal Time Table
  • Projects
    • Planned Projects
    • Completed Projects
    • Ongoing Project
  • Publications
    • By Laws
      • Guidlines
    • Costumer Services Contract
    • Strategies
    • Reports
    • Forms
      • Application Form
    • Guidelines
    • Publications
  • Media Centre
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WA IGAWA WAPISHA BOMBA LA MAJI, WAPEWA FIDIA

Posted on: August 21st, 2025

DC MBARALI AWASHUKURU WANANCHI WA IGAWA KWA KUACHIA MAENEO YAO KWAAJILI YA MRADI WA MAJI.


Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Brigadia Jenerali Maulid Hassan Surumbu siku ya leo Agosti 21, 2025 amewashukuru wananchi 10  wa Igawa Wilaya ya Mbarali kwa kuachia maeneno yao ili mradi wa maji upite.

"Ninachowashukuru sana ninyi wananchi kukubali na kuridhia maeneo yenu mabomba yapite,  pia kuridhia kupokea fidia ambayo tunakwenda (kabla ya kutoa fidia) kuitoa"

Pamoja na yote, Dc Mbarali amemshukuru na kumpongeza Meneja wa Rujuwasa Mbarali kwa kazi kubwa anayoifanya


" Kwahiyo mimi niwashukuru tena Meneja wa Rujuwasa kwa kazi kubwa anayoifanya usiku na mchana"


Awali Meneja wa Rujuwasa Eng. Lestus Linda amesema eneo hilo ni eneo ambalo zamani bomba lilipita kutoka Igomelo kuelekea rujewa lakini baadae wananchi waliweza kusogeza makazi mpaka sehemu ya mapito ya bomba la maji. Aidha amesema kwakawaida bomba linatakiwa kubaki na mita saba kila upande japo baadhi ya wananchi wamejenga ndani ya mita hizo.


Kwa upande wa Wananchi hao 10 waliopekea fidia hizo wameishukuru Serikali nakuahidi kuonesha ushirikiano katika miradi ya Maendeleo huku wakisema maji ni uhai, pitisheni maji kwa amani.


Ni katika mradi mkubwa wa Miji 28 unaotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan  ambapo zoezi linaoendelea kwasasa ni ulazaji wa bomba za maji ili kufika mwezi Oktoba, bomba ziwe zimekamilika kutoka Igawa mpaka rujewa.


#Tamisemi

#RcMbeya

#Rujuwasambarali

Announcements

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MBARALI DC- STRATEGIC PLAN WORD 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • View All

Latest News

  • DED MBARALI ATULIZA MGOMO WA WATUMISHI HOSPITALI YA CHIMALA MISSION

    August 25, 2025
  • WANANCHI WA IGAWA WAPISHA BOMBA LA MAJI, WAPEWA FIDIA

    August 21, 2025
  • MAWASILIANO YA WAKUU WA IDARA

    August 19, 2025
  • UCHUKUAJI WA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBARALI

    August 14, 2025
  • View All

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
More Videos

Quick Links

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL

Related Links

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Postal Address: 237 Rujewa Mbeya

    Telephone: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Email: ded@mbaralidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.