• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

CHF Iliyoboreshwa Inalinda Heshima ya Familia-Mfune

Tarehe ya Kuanza: June 3rd, 2020

Mkuu wa wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewataka wakazi wote wa Wilaya ya Mbarali ambao hawajajiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa, kujiunga na mfuko huo ili kuwa na uhakika wa kupatiwa huduma za matibabu mara watakapougua kwani mfuko huo umekuwa ukilindia heshima katika familia hata kama huna pesa ya matibabu kwa wewe na familia yako.

Mhe. Mfune ameyasema hayo siku ya tarehe 02/06/2020 kwenye muendelezo wa ziara zake za kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (ICHF) katika kata za Rujewa, Ihahi na Chimala ambapo katika ziara hiyo aliweza kuongea na Wah. Madiwani, Wenyeviti wa Vijiji pamoja na Vitongoji.

“Tanzania ya Jana sio ya leo, watu wengi wanailalamikia CHF ya zamani, zile changamoto zilizokuwepo kwenye CHF iliyopita, Serikali imezifanyia maboresho ili iwe na faida kubwa kwa jamii. Kwa sasa CHF iliyoboreshwa (ICHF) inakuruhusu kutibiwa kuanzia ngazi ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Wilaya hadi Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa popote pale ndani ya Tanzania.”

“Shilingi 30,000 inauwezo wa kuhudumia familia ya watu 6 ambapo ni sawa na shilingi 5,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka na kwa upande wa wanafunzi wanuwezo wa kujichangisha watu 5 na wakapata huduma bila tabu yeyote.”Alisema Mfune.

Mkuu wa Wilaya amewaagiza wenyeviti hao kuonesha mfano kwa jamii kwa kukata bima ya ICHF kwani kwa viongozi hao sio ombi ni lazima ili watakavyokuwa wanatoa elimu kwa wananchi wawe na mifano halisia.

Mhe Mfune amewata wananchi kutoa taarifa kwa viongozi wao pale wanapoona kuna ubaguzi wa utoaji huduma ya afya ili waweze kuwachukulia hatua watumishi wanaofanya hivyo.

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali alianza ziara ya kupita kila kata na kutoa elimu kuhusiana na CHF iliyoboreshwa (ICHF) siku ya terehe 01/06/2020. hadi sasa ameshapita kata za Mwatenga, Ruiwa, Mahongole, Kongoro, Utengule Usangu, Igurusi, Itamboleo, Chimala, Ihahi pamoja na Rujewa, na ataendelea na ziara hiyo siku ya ijumaa ya tarehe 05/06/2020 ili kumalizia kata zilizobaki.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.