• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZIARA KUSIKILIZA KERO KITONGOJI CHA MOGELO

Tarehe ya Kuanza: October 19th, 2025

MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI NDANI YA WIKI MOJA KITONGOJI CHA MOGELO MBARALI


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu pamoja na timu ya Wataalam wa Idara ya Maji na Umeme wamefanya mkutano wa kusikiliza na kutatua kero katika vitongoji viwili vya Mogelo Ihanga na Mogelo Uhamila vilivyopo Kata ya Rujewa ameahidi kutatua kero ya maji katika Kata hizo ambayo imetokana na kuharibika kwa mtambo wa maji.


Pamoja naahadi ya kutatua changamoto hiyo, kwa upande wake Mkuu wa wa Wilaya hiyo, Brigedia Jenerali Surumbu amewasihi wananchi kuwa watulivu, kudumisha  amani  na mshikamano huku akiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kutafutia utatuzi wa changamoto ya mgogoro uliopo kati ya mpaka wa Kata ya Rujewa na  kata ya Mawindi.


"Nina imani mgogoro huu uliopo kati ya vitongoji hivi viwili kwenye Kata ya Mawindi na Kata ya Rujewa ulifuata utaratibu wa utatuzi, kwa kuwa Mkurugenzi amesema atakwenda kufuatilia tiutafahamu ulitatuliwa kwa namna gani, hivyo kufikia Novemba 05, 2025 naamini tutapata majibu ya ufumbuzi wa changamoto hiyo", amesema Mhe. DC Surumbu.


Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndugu Raymond Mweli ameahidi kukutana na wataalamu wa ardhi ili kufanya tathimini na kufanya tafiti kwa kutembelea maeneo yote yenye mgogoro ili kujiridhisha ikiwa ni pamoja na kupitia nyaraka zote zinazohusiana na mpaka huo.


Aidha akijibu kero ya Maji katika eneo hilo la Mogelo, Mkurugenzi Mweli ameahidi kutatua kero ya maji ndani ya wiki moja ambapo wataalamu wa maji watafanya tathmini kujua ukubwa wa changamoto na namna ya kukabiliana nayo huku akiongeza kuwa Halmashauri ya Wilaya hiyo itachimba visima viwili vya maji katika Vitongoji hiyo kama sehemu ya kukabiliana na changamoto hiyo.


Awali Mwenyekiti wa kitongoji cha Mogelo Uhamila, Ndugu Tilike Taikoo amesema mtambo waliokuwa wanategemea kuleta maji uliharibika kwa takribani mwaka mmoja sasa jambo lililopelekea wananchi wa maeneo hayo kutembea umbali mrefu katika kutafuta huduma ya maji hivyo kukarabatiwa kwa mtambo huo itasaidia kwa sehemu kubwa wananchi hao kupata huduma hiyo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • ZIARA KUSIKILIZA KERO KITONGOJI CHA MOGELO

    October 19, 2025
  • WANAUME SHIRIKISHENI NA WENZA WENU KATIKA UMILIKISHAJI WA ARDHI.

    October 15, 2025
  • MBARALI YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA, YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI WA MIRADI

    October 09, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI MBARALI

    October 08, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.