• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAKABIDHI MIKOPO YA 2% KWA WATU WENYE ULEMAVU.

Tarehe ya Kuanza: December 30th, 2025



Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali imeendelea kutenga na kukabidhi Mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri. Kwa ajili ya Vijana , wanawake na watu wenye Ulemavu .

Kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii Leo Tarehe 30 December Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Imekabidhi mkopo wa Boda boda kwa mtu mmoja mwenye Ulemavu ikiwa ni Moja ya Utekelezaji wa maagizo ya serikali kuu ya kuwa 2% ya mapato ya Halmashauri itolewe kama mikopo isiyo na riba  kwa watu wenye Ulemavu


Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Mathias Lusendeka amehimiza mnufaika huyo kutumia bodaboda hiyo kujipatia kipato ili kujikwamua ki maisha.


 "Tunakukabidhi Pikipiki hii kwa ajili ya shughuli za kujitafutia kipato chako , lakini Nina amini kupitia Pikipiki hii itakusaidia kurejesha mkopo kwa wakati , pia ukawe kama balozi kwa wengine waje wachukue mikopo isiyo na riba kwa ajili ya Walemavu waje tutaendelea kuwapa mikopo hii kwa ajili ya kufanya ujasiriamali wenye tija .


Aidha Mratibu wa Mikopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Emmanuel Yohana amewahamasisha wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kuhakikisha wanajitokeza kuomba mikopo ili kujikwamua ki maisha

 " Niwahamasishe Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali wajitokeze kwa wingi kuomba mikopo kwani mikopo ya 10% ya mapato ya Halmashauri ni kwa ajili ya makundi matatu ambayo 4% ni kwa ajili ya wanawake, 4% ni kwa ajili ya vijana na 2% ni kwa ajili ya watu wenye Ulemavu.  Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali imeendelea kutenga Fedha kwa ajili ya mikopo kama lilivyo agizo la serikali kuu"


Kwa upande wake Elisha Athanas Mkazi wa Kijiji cha Ihanga  Kata ya Rujewa ambaye ni mnufaika wa Mikopo hiyo aliyekabidhiwa Pikipiki ameishukuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kumkabidhi bodaboda hiyo

"Ninashukuru nimepata boda boda hii nitaitumia katika shughuli zangu za kujipatia kipato ili niweze kulipa mkopo huu lakini pia nawahakasisha wananchi wenzangu wa Wilaya ya Mbarali waje waombe mikopo hapa Halmashauri hakuna ubabaishaji Wala uzinguzi wa aina yoyote Ile "

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

    January 20, 2026
  • MBARALI YAJIZATITI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO .

    January 20, 2026
  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

    January 20, 2026
  • DED MWELI AKABIDHI GUTA, MILIONI 10 KIKUNDI CHA “WANAWAKE NI NGUZO” KATA YA MAWINDI.

    January 20, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.