• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Hifadhi ni Zetu Sote, Faida Zinazopatikana Zinarudi kwa Wananchi - Mathayo

Tarehe ya Kuanza: March 5th, 2020

Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Kamati Maalumu ya uelimishaji wananchi juu ya umuhimu wa uhifadhi, Muikolojia kutoka Hifadhi ya Taifa yaTanzania (TANAPA) Ndg Daniel Mathayo alipokuwa akitoa elimu ya Hifadhi za Taifa siku ya tarehe 05/03/2020 katika kijiji cha Matemela Kata ya Ipwani Wilaya ya Mbarali.

Mathayo alisema kwamba, kwa kipindi kirefu wananchi wamekuwa wakiingia ndani mipaka ya Hifadhi na kusababisha misuguano na askari wa Hifadhi kitu ambacho kilipelekea kutokea kwa matukio ya mauaji kitu ambacho Serikali ikaamua kutuma wataalamu kwa ajili ya kutoa elimu Kuhusiana na masuala ya Uhifadhi ili matukio kama hayo yasijirudie

Akiongea katika mkutano wa hadhara alisema kwamba ni kosa kisheria kuingia hifadhini bila kibali, kuwinda wanyama pori, kukutwa na nyama pori, kumiliki siraha hifadhini bila kuwa na kibali, kuvuna mazao ya misitu, kuchimba madini na shughuli zingine za kibinadamu.

“Hifadhi zote zimeanzishwa kisheria na zinaendeshwa kisheria kwa lengo la kutunza wanayama pori na mazingira yao, haina maana wananchi kugombania maeneo yaliyowekwa mipaka, kwani hizi Hifadhi ni mali za watanzania wote.”

“Faida zinazopatikana zinarudi kwa wananchi kwa ajili ya kusaidia miradi ya maendeleo, ni jukumu la kila mtu kutunza Hifadhi zetu, mipaka iliyowekwa inasaidia kujua ni wapi mwananchi anatakiwa kuishia, kwani kuheshimu mipaka iliyowekwa kisheria kutasaidia kupunguza migogoro”

Mjumbe Mwingine wa wa Kamati Maalumu ya uelimishaji wananchi juu ya umuhimu wa uhifadhi Mhifadhi Wanyamapori kutoka TAWA, Ndg. Sylvester Emmanuel aliongeza kuwa Tawa ni Shirika la usimamizi wa wanyama pori Tanzania. Sheria za Tawa hazitofauti na sheria za TANAPA ila kwa upande wa TAWA kuna baadhi ya maeneo wameruhusu uwindaji wa Kitalii pamoja na uwindaji wa kitoweo ambao kwa sasa upo kwenye hatua za majaribio kanda ya Kaskazini.

Tawa inasimamia Mapori Tengefu, Ardhi oevu, bustani za wanyama pori, mashamba na ranchi za wanyama pori na jumuiya za wanyamapori zinazotengwa na wananchi na kusimamiwa na wananchi wenyewe kwani wanyama huwa wanahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa ajili ya kutafuta chakura au kukimbia hari mbaya ya kimazingira, sasa kama uhifadhi hautafanyika tutawapoteza hao wanyama.

MWISHO


Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.