• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Janga la Corona Isiwe Sababu ya Kuwaozesha Wananfunzi - Katibu wa Mila Mbarali

Tarehe ya Kuanza: May 8th, 2020

Katibu Mkuu wa Mila wa Kabila la Wasangu Ndg.  Mwanasimtwa Henri Mwagongo ameitaka jamii ya kabila la Wasangu pamoja na Watanzania kwa ujumla kutochukulia janga la ugonjwa wa Corona kuwa sababu ya kuwaozesha wanafunzi pamoja na kuwapa mimba watoto ambao kwa sasa shule zimefungwa kutokana na COVID 19.

Ndg. Mwagongo ameyasema hayo siku ya tarehe 07/05/2020 walipokuwa wakifanya tambiko maalumu  la kimila pamoja na viongozi wote wa kimila ngazi ya vijiji lililofanyika kata ya Rujewa kitongoji cha Mlimani kwenye msitutu wa maliasili kwa ajili ya kumuomba Mungu aliepushe janga la Corona ambalo limeikumba Dunia kwa sasa.

“Shule zimefungwa, tusiwaache watoto watembee bila mpango, na isiwe sababu ya nyie kuwaoza, vilevile isije kuwa sababu ya wao kukosa kurudi shuleni kwa ajili ya mimba, kupambana na Corona sio kazi ya Serikali pekee, wote tunatakiwa kupambana”

“Asiesikia la Mkuu siku zote huvunjika guu, huu ugonjwa hadi sasa tiba yake haijapatikana, tujikinge kwa kufuta maelekezo yanayotolewa na Serikali kila siku, tuwe wasafi, tuache kukumbatiana, tuache kusalimiana kwa mikono, kusogeleana, kuto zurula hovyo bila sababu, kutembeleana majumbani bila sababu za msinigi na tuwe tunatoka nyumbani kwa shuhuri maalumu tu.” Aliseme  Mwagongo.

Afisa Afya kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndg. Mashaka Juma, amewapongeza wazee wa kimila wa Jamii ya wasangu kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona kwa kufanya tambiko la kimila ili kuliondoa lisiweze kuja Mbarali na kuendelea na duniani.

 “Wazee hamjaiachia Serikali peke yake, na Serikali imekuwa ikitambua msaada mkubwa wa wazee wa kimila pamoja na tiba asilia ili tuweze kuushinda ugonjwa huu. Mngeweza kuliacha hili zoezi Serikali, ila kutokana na upendo wenu kwetu na vizazi vijavyo mkaamua kufanya tambiko. Ningependa na sehemu zinginge waige.”

Tambiko maalumu kwa ajili ya Kuliombea taifa na Dunia kwa ujumla dhidi ya ugonjwa wa COVID 19 limesimamiwa na wataalamu wa Afya kutoka ngazi ya Mkoa na Wilaya ili kuweza kufuata taratibu zote za afya zilizotolewa kwa ajili ya Kujikinga na Ugonjwa wa Corona.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DED MPYA AWASILI MBARALI

    June 30, 2025
  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.