• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mgogoro wa Lembuka (Gulio) Wafikia Tamati

Tarehe ya Kuanza: November 2nd, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndg. Kivuma H. Msangi, amemaliza mgogoro wa sehemu ya kufanyia Lembuka (Gulio) uliodumu kwa muda wa wiki mbili katika Kijiji cha Ruiwa na Kijiji cha Ijumbi vilivyopo katika Kata ya Ruiwa Tarafa ya Ilongo siku ya tarehe 01/11/2018 alipofanya ziara katika kata hiyo.

Katika kutatua mgogoro huo, Msangi aliitisha kikao cha ndani na Serikali zote za vijiji hivyo na kusikilza maoni yao, na baadae alikwenda kuongea na wananchi katika sehemu zinazolalamikiwa akianzia na kijiji cha Ijumbi na Kumalizia kijiji cha Ruiwa ambapo alifanya maamuzi kwa kuongea na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.

 “Ugomvi kati ya Ijumbi na Ruiwa sio Lembuka bali ni siku gani Lembuka ifanyike, Lembuka ya Ijumbi iendelee kama ilivyokuwa awali siku ya Jumapili, na kwa upande wa soko la Ruiwa waombe kuanzishwa kwa Lembuka, ila siku zitofautiane na Lembuka ya Ijumbi, kaeni kama Serikali pendekezeni siku nyingine ya kufanya gulio na mniletee ili niwaruhusu kwa barua.”

“Zipo taratibu za kudai haki, ila sio kwa kuchoma vibanda vya wa watu, fanyeni mikutano ya hadhara, waelezeni wananchi hiki walichokifanya sio kizuri, tunachotaka ni amani na hakuna mtu alie juu ya sheria.”

Naye Diwani wa kata ya Ruiwa Mhe. Kassim Mtale amemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kutenga muda wake na kuja kumaliza mgogoro uliopo baina ya vijiji vyake viwili katika Kata ya Ruiwa.

Mgogoro kati ya vijiji hivyo viwili, ulioanza tangu usiku wa kuamkia tarehe 21/10/2018 na kusababisha madhara mbalimbali yakiwemo  kuchomwa kwa vibanda kwenye soko la kijiji cha Ruiwa, Kufungwa kwa ofisi ya kata, kufungiwa ndani kwa baadhi ya watendaji wa vijiji na kata pamoja na kurushiana maneno yasiyo faa.

Mgogoro huo uliodumu kwa kipindi cha wiki mbili, umemalizika na wale wote waliosababisha vurugu na kuvunjika kwa amani walishakamatwa na vyombo vya ulinzi, na kufunguliwa kesi mahakamani.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.