• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU WILAYANI MBARALI

Tarehe ya Kuanza: October 8th, 2025

*MWENGE WA UHURU WATEMBELEA, KUFUNGUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI 6 WILAYA YA MBARALI*


Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Brigedia Jenerali Maulid H.Surumbu ameongoza Kamati ya Mapokezi ya Mwenge pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo kupokea Mwenge wa Uhuru leo Oktoba 08, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kongolo Mswiswi uliopo Wilayani humo na kuupitisha katika miradi mbalimbali ambayo iliwekwa mawe ya msingi pamoja na kufunguliwa.


Katika mbio hizo Kiongozi wa Mbio za Mwenge ameonesha kuridhishwa na hatua mbalimbali ambazo miradi hiyo imefikiwa huku akipongeza Uongozi wa Wilaya hiyo kwa usimamizi mzuri na utekelezaji wa miradi hiyo ambayo kwa ujumla itakuwa na manufaa mbalimbali kwa wananchi wa Wilaya hiyo.


Katika mbio hizo Mwenge wa Uhuru umeweka mawe ya msingi katika Miundombinu za Hospitali ya Wilaya ya Mbarali ambayo iko katika hatua za mwisho za ujenzi, Mradi wa Maji eneo la Chimala, Kituo cha mafuta cha Crive Petroleum ambacho kimekamilika na kinatarajiwa kuanza kutoa huduma wakati wowote kuanzia sasa, jiwe la msingi barabara ya Komba Machicho; na pia kutembelea na kuona shughuli za ujasiriamali zinazofanywa na Kikundi cha vijana cha Mtukazi kilichopo Uhambule Kitongoji cha Kibaoni.


Aidha katika Mbio hizo za Mwenge mradi wa vibanda 14 vya biashara vilivyojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali vilifunguliwa ambapo vibanda hivyo vilivyopo eneo la Kituo cha Mabasi Igawa vimekamilika na viko katika hatua za kupata wapangaji ili viendelea kutoa huduma, pia 


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ali Ussi amewapongeza wananchi wa Wilaya ya Mbarali kwa jitihada zao katika kujiletea maendeleo huku akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao kwa namna mbalimbali kuwainua kiuchumi ikiwemo kutoa mikopo ambayo husaidia shughuli zao ambapo wananchi wengi Wilayani humo ni wakulima wa zao la mpunga na wafugaji.


Mwenge wa Uhuru umehitimisha shughuli za kutembelea, kuweka mawe ya msingi na kufungua miradi hiyo katika Wilaya ya Mbarali na unatarajiwa kukabidhiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kesho Oktoba 09, 2025 katika eneo la Inyala Jijini Mbeya ambapo utaendelea kukimbizwa maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ambapo kilele cha mbio hizo kinatarajiwa kuwa Oktoba 14, 2025 Jijini Mbeya.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • ZIARA KUSIKILIZA KERO KITONGOJI CHA MOGELO

    October 19, 2025
  • WANAUME SHIRIKISHENI NA WENZA WENU KATIKA UMILIKISHAJI WA ARDHI.

    October 15, 2025
  • MBARALI YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA, YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI WA MIRADI

    October 09, 2025
  • MWENGE WA UHURU WILAYANI MBARALI

    October 08, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.