• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAJUMBE HALMASHAURI YA CCM WILAYA YA MBARALI WAIPONGEZA HALMASHAURI KWA UTEKELEZAJI WA ILANI 2020-2025.

Tarehe ya Kuanza: January 19th, 2026



Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu ameishukuru Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali kwa kuipokea, kuijadili na kuipitisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika kutekeleza ilani ya Chama hicho ya mwaka 2020-2025 kwa kipindi cha Julai mpaka Desemba 2025 ambapo taarifa hiyo inahusu utekelezaji wa ilani kwa sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya na miundombinu.


Taarifa hiyo imewasilishwa na Mkuu huyo wa Wilaya mbele ya Wajumbe hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbarali, Bi. Mary Obadia Mbwilo, Katibu wa Chama hicho, Maranyingi Matukuta na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Twalib Lubandamo.


“Sehemu ya mafanikio ambayo yamepatikana ni pamoja na kuongezeka vituo vya kutolea huduma za afya, ongezeko la idadi ya shule za msingi na sekondari, shule 5 zenye miundombinu za TEHAMA, mradi wa miundombinu za maji ambao unaendelea,” amesema Brig. Jen. Surumbu.

 

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya amepongeza namna ambavyo wananchi wameshiriki moja kwa moja kuhakikisha kunakuwa na hali ya ulinzi na usalama katika maeneo yao na kuwasihi kuendeleza ushirikiano huo na vyombo vya dola ili kuwepo na utulivu utakaosaidia wananchi kujishughulisha na shughuli za maendeleo.


“Nawashukuru Wananchi wa Mbarali wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama katika maeneo yao, wapo waliothubutu kuripoti na wengine wakichukua hatua za kuwakamata wahalifu na kuwafikisha katika vyombo vya dola ili wachukuliwe hatua za kisheria,” amesema Brig. Jen. Surumbu.


“Tuna wajibu kusimamia utekelezaji wa maelekezo yaliyomo kwenye ilani yanayohusu miradi ya maendeleo, tutelekeleza pamoja na kuhakikisha kila mmoja wetu anawajibika kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi, sisi ni watumishi wao,” amesema Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndugu Raymond Mweli.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Wilaya ya Mbarali, Ndugu Twalib Lubandamo amewaasa Wajumbe wa Halmashauri hiyo kuyazungumzia mafanikio yaliyofanywa chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi katika kuwaletea maendeleo

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WASIOPELEKA WATOTO SHULE WACHUKULIWE HATUA.

    January 20, 2026
  • MBARALI YAJIZATITI KUPAMBANA NA MAJANGA YA MOTO .

    January 20, 2026
  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI WAPIGWA MSASA MAFUNZO ELEKEZI.

    January 20, 2026
  • DED MWELI AKABIDHI GUTA, MILIONI 10 KIKUNDI CHA “WANAWAKE NI NGUZO” KATA YA MAWINDI.

    January 20, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.