• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC AWATAKA WAKULIMA KULIMA KUTOKANA NA UWEZO WAO

Tarehe ya Kuanza: October 8th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewataka wakulima wote wa Wilaya ya Mbarali kulima kutokana na uwezo wao na sio kukopa mikopo mikubwa kwa watu binafsi wasiotambulika kisheria ambapo inakua shida kurudisha mikopo hiyo wakati wa mavuno.

Ameyasema hayo siku ya tarehe 08/10/2019 kwenye kikao cha Uzinduzi wa Msimu wa Kilimo alichokiitisha katika ofisi yake na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka kwenye Taasisi binafsi za kilimo, Taasisi za Serikali, viongozi wa wakulima pamoja na baadhi ya wakulima kutoka maeneo mbalimbali wilayani hapa.

 “Ni heri ulime hekari moja kwa nguvu zako mwenyewe kuliko kulima hekari 20 lakini siku ya mavuno anakuja aliekukopesha na mabaunsa wake kuchukua Mpunga wote ukiwa unaangalia anavyoondoka nao, wewe unarudi nyumbani mikono mitupu, hapo utakuwa umemfanyia kazi yeye sio wewe kupata faida.”

“Nawasihi wakulima wote kukopa kwenye Taasisi za Kifedha ambazo zimesajiliwa na Serikali na zinatambulika kisheria kwani riba zao zinasimamiwa na Serikali kuliko kukopa kwa watu binafsi ambao hawatambuliki kisheria na riba zao ni mara tatu zaidi ya fedha ulizokopa” Alisema Mhe Mfune

Aidha amevitaka baadhi ya vikundi vya wakulima kuwa waaminifu wanapoomba mikopo kwenye taasisi za kifedha kwani kumekuwa na usumbufu kwenye marejesho ya mikopo hiyo kama kikundi, tofauti na wanavyotoa mkopo kwa  mkulima mmoja mmoja kwani mikopo hiyo imekuwa ikirejeshwa kwa wakati muafaka.

Katika kulekea katika msimu mpya wa kilimo  Mhe. Mfune aliwataka Maafisa Ugani kutoa mafunzo stahiki ya matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo na kuwafundisha wakulima ili kuleta tija katika kilimo na sio kusubiri makongamano ya kilimo ambayo hayafanyiki mara kwa mara.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.