• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC Mbarali Akabidhiwa Vifaa vya Ujenzi wa Kituo cha Polisi Igurusi

Tarehe ya Kuanza: August 25th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amakabidhiwa vifaa vya ujenzi wa Kituo cha Polisi Igurusi na ndg. Amon Said Mkurugenzi mwezeshaji wa Kampuni ya AgriCom ambayo inayojihusisha na uuzaji wa zana za kilimo siku ya tarehe 24/08/2018 katika Kijiji cha Lwanyo kata ya igurusi.

katika makabidhiano hayo, kampuni ya AgriCom imeweza kuchangia mifuko saruji (Cement) 120, celling bord piece 61, mchanga malori 7 pamoja na gharama za ufundi.

Vifaa hivyo vilivyokabidhiwa vitatumika katika umaliziaji wa kituo hicho ambacho ujenzi wake ulishaanza kwa kutumia nguvu za wananchi na mchango wa mhe Mbunge wa mbarali ambaye amechangia kiasi cha tsh milion 2.

akizungumza katika makabidhiano ya vifaa hivyo Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amewapongeza wakazi wa kata ya Igurusi kwa kuanzisha ujenzi wa kituo cha polisi ambacho kitatumika kwa ajili ya ulinzi wa mali za wananchi na usalama wao pamoja na kumshukuru  Mkurugenzi wa Kampuni ya AgriCom kwa kukubali ombi la kumalizia ujenzi wa kituo hicho na kuendelea kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo za kijamii ikiwemo ujenzi wa shule pamoja na uuzaji wa bidhaa za zana za kilimo kwani asilimia kubwa ya wananchi wa mbarali ni wakulima.

"tusibweteke na misaada hii kwani bado kiasi cha shilingi milion 3 ili tuweze kukamilisha ujenzi huu, hivyo tunatakiwa kuendelea kujitoa" alisema Mhe. Mfune

Mkurugezi Mwezeshaji  wa Kampuni ya AgriCom  ndg. Amon Said alisema kuwa pamoja na kuchangia ujenzi wa kituo hicho cha polisi vilevile wameweza kuchangia ukarabati wa shule ya msingi lwanyo kwa kutoa bati 80 pamoja na ukarabati, vilevile kampuni yake inatarajia kuzalisha zana za kilimo zikiwamo majembe, mapanga na mashoka.

naye Mkuu wa Polisi Wilaya ya Mbarali Faustine Bongole  amemuomba mkuu wa wilaya kumsaidia kupata eneo kubwa zaidi ili liweze kutumika kwa shughuli zingine za kipolisi ikiwamo sehemu za mazoezi na sehemu za maegesho ya vyombo vya usafiri vya moto kama magari au pikipiki zitakazoamatwa kwani eneo walilopewa lipo karibu na makazi ya watu na halitoshelezi kwa mahitaji yao.

Diwani wa Kata ya Igurusi Mhe. Hawa Kihwele amemshukuru Mkurugenzi Mwezeshaji wa Kampuni ya Agrocom kwa moyo wa kujitolea katika kuchangia shughuli za kijamii katika kata yake ya ya ighurusi na amemtaka kuendelea kuchangia shughuli nyingine za kimaendeleo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.