• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mbeya Yafanya Ziara Wilaya ya Mbarali Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi

Tarehe ya Kuanza: March 28th, 2018

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho  Ndg.  Jacob Mwakasole imefanya ziara katika Wilaya ya Mbarali kwa ajili ya kutembelea Miradi mbalimbali ikiwa ni kujionea na kukagua  Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi siku ya tarehe 27.03.2018

Katika Ziara hiyo, Kamati ya Siasa Mkoa imeweza kutembelea miradi mbalimbali ikiwamo Bwala la Lwanyo lililopo katika Kata ya Igurusi, Ujenzi wa Mfereji wa skimu ya Umwagiliaji Igomelo uliyopo katika Kata ya Lugelele, Ujenzi wa Barabara ya Igawa-Madibira pamoja na Mpaka wa Hifadhi wa RUNAPA (TANAPA) uliopo katika Kata ya Imalilo Songwe.

Katika Mradi wa Lwanyo uliopo Kata ya Igurusi, Kamati imeweza kutembelea mradi huo na kujionea Utekelezaji wake sambamba na kuzungumza na baadhi ya wananchi ambao wameweza kuelezea changamoto mbalimbali zinazoukabili mradi huo na wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Mkoa kwenda kufanyia kazi changamoto zote walizozitaja ili uweze  kunufaisha wananchi wote wanaouzunguka mradi.

Wakiwa katika kata ya Lugelele Kamati imeweza kutembelea ujenzi wa Mrefeji wa Skimu ya Umwagiliaji Igomelo na kujiridhisha na Maendeleo yake. Wakiwa katika mradi huo changamoto mbalimbali ziliweza kujitokeza ikiwemo mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Waga na Skimu ya Umwagiliaji ambayo inawafanya wakulima wa skimu hiyo kuwa na mgogoro na Hifadhi.

Vilevile Kamati ya Siasa waliweza kutembelea ujenzi wa barabara ya Igawa –Madibila ambayo inaendelea kujenga na wameridhishwa na ujenzi huo ila wamemtaka msimamizi wa Mradi huo (TANROAD) kusimamia vyema mradi huo ili uweze kukamilika kwa wakati na wananchi waweze kunufaika nao.

Kamati ilimalizia Ziara yake katika Kata ya Imalilo Songwe ambako kuna mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ruaha (TANAPA) na wananchi. Mgogoro huo mchakato wake wa ufumbuzi umeshawasilishwa ngazi husika kwa ajili ya kufanya maamuzi kwani maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi yameshapokelewa. Mwenyekiti amewaahidi wananchi wa Kata ya Imalilo Songwe na Mbarali kwa ujumla kuwa wavumilivu kwani atafanya jitihada za kuongea na wahusika ili tatizo hilo liweze kutatuliwa haraka kwa manufaa ya pande zote mbili.

Akiongea na Viongozi wa Wilaya upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na upande wa Serikali katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya wakati wa kuhitimisha Ziara yake,  Mwenyekiti wa CCM Mkoa  amewashukuru Viongozi wote kwa ushirikiano walioutoa wakati wa Ziara pamoja na kazi wanazozifanya katika kuhakikisha wanawaletea wananchi wa Mbarali Maendeleo. Kuhusiana na changamoto walizozikuta kipindi cha ziara  atakwenda kuzifanyia kazi kwa kuonana na wahusika ili ziweze kutatuliwa

Mwenyekiti amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune kuendelea kushirikiana na Viongozi mbalimbali wa Wilaya upande wa chama pamoja na taasisi anazozisimamia katika kutatua migororo inayowakabili wananchi wa Mbarali ikiwemo migogoro ya mipaka, mashamba pamoja na ugomvi kati ya wakulima na wafugaji kwani migogoro hiyo ndio migogoro mikubwa inayoikabili Wilaya ya Mbarali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.