• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KILICHOJIRI MKUTANO WA MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. ALBELT CHALAMILA NA WANANCHI WA WILIYA YA MBARALI TAREHE 03/09/2018 KATIKA KATA YA UBARUKU

Tarehe ya Kuanza: September 4th, 2018


Rais ameniteua nije kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Rais hakuniteua nije niufute upinzani au nije niwachekee wapuuzi bali ameniteua nije niwaunganishe wananchi wa mbeya na kuendelea kushirikiana nao katika kuwaletea maendelea. Mkuu wa Mkoa

Hakuna maendeleo yanayofanywa kwa siku moja na hakuna Serikali duniani kote iliyofanya maendeleo kwa siku moja. Mkuu wa Mkoa

Mkuu wa Wilaya azunguke na wananchi kuwaonyesha eneo lote la shamba la Mbarali Estate lililotolewa na Mwekezaji ambalo lina ukubwa wa hekta 548 sawa na ekali 1354. Mkuu wa Mkoa

Kisheria eneo ukishaliuza kwa mwekezaji, huna mamlaka ya kumpangia cha kufanya. Mkuu wa Mkoa

Kuna watu wachache wanaoeneza migogoro kwa maslahi ya wachache. Mkuu wa Mkoa

Nataka nikirudi ubaruku nikute vijana wanafanya kazi ili kusukuma maendeleo. Mkuu wa Mkoa

Nikimaliza ziara katika wilaya ya mwisho nitakuja tena mbarali ili nikafike kwenye shamba la Mbarali Estate nione kinachozungumzwa na kulalamikiwa. Mkuu wa Mkoa

Kuwe na utaratibu maalumu ya kuwaelekeza wananchi kuhusu mikopo inayotolewa na Serikali upande wa Wanawake, Vijana na Walemavu ili mikopo hiyo itolewe hasa kipindi cha kilimo. Mkuu wa Mkoa

Unyonyaji wa wakulima ifike mahara tuyamalize, wote tunapenda pesa ila pesa za dhurma sio nzuri. Mkuu wa Mkoa

Kuna baadhi ya watu wamekuwa ni madarali wa nguvu za wakulima, wanawakopesha wakulima pesa kwa riba kubwa, polisi wapeleleze wale wote wanaokopesha wananchi na wawaulize wanawakopesha kwa riba za asilimia ngapi. Mikopo itolewe kwa kusaidia wananchi na sio kuwaumiza wananchi. Tafuteni watu wasafi waweze kufanya kazi kwa niaba ya serikali. Mkuu wa Mkoa

Kuna mchezo wa kutolipa kodi kwa hiyari, kila mfanyabiashara ni wakala wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika kukusanya kodi. Mkuu wa Mkoa

Marufuku Mamlaka ya Mapato (TRA) kufanya makisio ambayo yanawaumiza wafanyabiashara. TRA na wafanyabiashara ni wadau wanaotegemeana. Kuripa kodi ni sheria anzeni operation maalumu kwa wale wenye mashine za EFD wanaofoji risiti, wale wenye mashine za EFD wasiotoa risiti pamoja na wale  wafanyabiashara wenye hadhi ya kununua mashine za EFD na hawataki kununua mashine hizo. Vilevile bila wakamateni wale wanatumia mashine fake za EFD(batili). Mkuu wa Mkoa

Watafutwe wale wote waliouza na kununua powetila za wananchi zilizotolewa na Mhe. Mbunge kwa ajili ya matumizi ya umma na waweke ndani, na yeyote atakaetumia jukwaa la kisiasa kufitinisha wananchi na Serikali akamatwe. Mkuu wa Mkoa

Mhe. Haroon Pirmohamed Mbunge Wa Jimbo la Mbarali amemuomba Mkuu wa Mkoa Kumkumbusha Makamu wa Rais kuhusiana na kuharakisha kuhusu GN 28 (Tangazo la Serikali namba 28).

 Nitachangia kiasi cha shilingi milion 5 ili iweze kufufuka na kuendelea kukopesha wananchi. Mhe. Mbunge

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.