• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Afurahishwa na Kasi aa Ujenzi wa Zahanati na Vyumba vya Madarasa Wilaya ya Mbarali

Tarehe ya Kuanza: March 27th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Reuben Mfune amefurahishwa na kasi ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa na Zahanati alipofanya ziara tarehe 26.03.2018 katika Kata za Miyombweni, Igava pamoja na Mawindi kwa ajili ya kujionea Maendeleo ya ujenzi  unavyoendelea pamoja na kujiridhisha utekelezaji wa Maagizo aliyoyatoa kwa maafisa Ugani katika kuboresha kilimo siku ya tarehe 03.11.2017

Akiwa katika Kata ya Miyombweni, Mhe Mfune amevitaka Vijiji vya Magigiwe na Miyombweni  kukamilisha ujenzi wa Zahanati haraka iwezekanavyo na ameahidi kurudi tena mwishoni mwa mwezi wa saba ili kujionea hatua zilizofikiwa.

Kuhusu Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa kwa kata ya Miyombweni, ameagiza hadi kufikia tarehe 31.03.2018 madarasa yote yawe yamekamilika.  Vilevile amewapongeza maafisa Ugani wa kata hiyo kwa kufanya kazi za kuwahudumia wakulima na amewataka waongeze jitihada ili wakulima waweze kujiongezea kipato.

Akiwa katika Kata ya Igava, Mhe Mkuu wa Wilaya, amevipongeza Vijiji vilivyomaliza ujenzi wa zahanati na amekitaka Kijiji cha Vikae kuanza ujenzi haraka na hadi kufikia June mwaka huu ujenzi uwe umefikia katika hatua nzuri.

Kwa upande wa vyumba vya madarasa amewapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kwani kwa hatua waliyofikia wanaziada ya vyumba viwili vya madarasa na amewataka kuanza kuandaa Madawati kwa vyumba vilivyozidi. Na kwa upande wa Kilimo amewataka maafisa Ugani kujitahidi kuwafikia wananchi kadri wawezavyo na waendelea kutoa elimu kwa kutumia mikutano ya hadhara.

Akiwa katika Kata ya Mawindi, Mhe Mfune ameridhishwa na ujenzi wa Bwalo la Chakula la wanafunzi unaoendelea katika shule ya Sekondari Mawindi na amewataka kuongeza kasi ili wanafunzi waanze kulitumia bwalo hilo mapema iwezekanavyo.

Mhe Mkuu wa Wilaya amefurahishwa na kasi iliyopo ya umaliziaji wa Kituo cha Afya mawindi na amevipongeza Vijiji vyote kwa kukamilisha ujenzi wa zahanati sambamba na kuwapongeza maafisa Ugani kwa kuendelea kutoa elimu kwa wananchi hasa katika zao la korosho.

Akihitimisha ziara yake, Mhe Mfune amewataka maafisa ugani wote kuendelea kutoa elimu kwa wananchi na kuhakikisha wapo sambamba hadi msimu wa mavuno utakapokamilika, kuwaelimisha wakulima katika uhifadhi wa Chakula, namna ya kuweka dawa na kutoa ushauri kuhusu msimu wa kuuza Mazao ili waweze kupata faida na waweze kuendana na soko.

kuhusu zahanati Mhe Mkuu wa Wilaya amevitaka Vijiji vyote ambavyo bado havijamaliza ujenzi wa Zahanati kumalizia ujenzi mapema na ameahidi kupita mwishoni mwa mwezi wa saba ili kujionea kinachoendelea.

Daudi B. Nyingo

Afisa Habari na Mahusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbeya

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.