• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MRATIBU WA MWENGE WA UHURU MKOA WA MBEYA AFANYA ZIARA MBARALI

Tarehe ya Kuanza: July 23rd, 2025

Mratibu wa Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mbeya Bw. Robert Mfugale ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kwa kuchagua miradi mizuri ya Mwenge wa Uhuru 2025 na kuipangilia vizuri. 

 "Niwapongeze kwa selection (uchaguzi) wa Miradi na kwa mpangilio mzuri"  

  Aidha Bw. Mfugale amesema miradi hiyo ina sifa na ubora stahiki kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2025 huku akiongeza kuwa marekebisho yake ni ya kawaida sana. Mbali na kusifia ubora wa miradi hiyo, Ndugu Mfugale amesisitiza miradi ambayo imekamilika na imeanza kutumika itunzwe ili iendelee kuwa na hadhi ya kupitiwa au kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru. 

Ameyasema hayo leo tarehe 23/07/2025 Wakati wa Ukaguzi wa Miradi itakayo Pitiwa,kuwekwa jiwe la Msingi, kutembelewa, kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Wilaya ya Mbarali.     

Kwa Upande wake Mratibu Msaidizi wa Mwenge wa Uhuru Bwn. John Mboya yeye ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali akisema kwa sasa iko 'supa' na inauwezo kwa kushika namba moja Kimkoa.

  Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndugu Raymond Mweli amesema Mbarali itafanya vizuri sana mwaka huu katika Mbionza Mwenge wa Uhuru 2025.   

  "Mimi bila shaka niwahakikishie Mbarali safari hii itafanya vizuri sana"             

Miradi iliyotembelewa ni Miradi ya Elimu, Maji, Afya, Kikundi cha Vijana ( Bodaboda soko la mchele Chimala) ambacho ni miongoni mwa wanufaika wa asilimia 10% ya Mapato ya Halmashauri, Miundombinu ya Barabara pamoja na Nishati safi ya kupikia 

Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2025 "Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Kwa Amani na Utulivu".

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • MRATIBU WA MWENGE WA UHURU MKOA WA MBEYA AFANYA ZIARA MBARALI

    July 23, 2025
  • BENKI YA NMB WATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI

    July 28, 2025
  • UZINDUZI WA JENGO LA DARASA LILILOJENGWA NA SHIRIKA LA SIX RIVERS AFRICA

    July 19, 2025
  • MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    July 03, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.