• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tuheshimu Mawazo ya Wasaidizi Wetu -Msangi

Tarehe ya Kuanza: September 14th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg Kivuma H. Msangi alipoitisha kikao kazi na Watumishi wote wa Halmashauri akiwa na leongo la kusikiliza kero na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili watumishi walio chini yake, kukumbushana majukumu ya kazi ya kila siku pamoja na kujadili suala la ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.

Akizungumza katika kikao hicho, Msangi aliwataka watendaji wa kata na vijiji Kusimamia kwa umakini uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwani vyeti hivyo vinatolewa bure, umaliziwaji wa madarasa ya kupokelea watoto wa kidato cha kwanza, zahanati pamoja na ujenzi wa vyoo bora kwa wananchi ambao hawana vyoo na wenye vyoo ambavyo havijakubalika ikiwa na kusimamia kutumika kwake maana kuna wanaojenga vyoo ila hawavitumii.

"Mshahara haujawahi kutosha kwa mfanyakazi, hata ukilipwa kiasi gani bado hautoshi, kikubwa ni kusimamia matumizi yako na tusitengeneze madeni yanayozidi mishahara yetu".

Vilevile Mkurugenzi Mtendaji amewaasa watumishi wote walio chini yake kwenda kusoma Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kila mtumishi akaitekeleze kulinganga na idara yake pamoja na majukumu aliyopangiwa.

Naye Afisa Utumishi na Utawala wa Halmashauri ya Wilaya Mbarali Ndg. Aswege Kaminyoge akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na watumishi alisema kuwa kila mtumishi wa umma anastahili kupanda daraja miaka minne mara baada ya kuajiriwa, na mara baada ya kupanda daraja moja mtumishi wa umma atapandishwa daraja kila baada ya miaka 3 kama ametimiza vigezo vilivyowekwa kisheria ambavyo ni; ufanyaji wa kazi kwa bidii, kama amejaza Fomu ya Wazi ya Mapitio ya Utendaji Kazi (Opras) pamoja na uwepo wa bajeti na nafasi.

Kuhusiana na madai ya Uhamisho, Kaminyoge ameahidi kulifanyia kazi na kuanza kulipa kwa mwaka huu wa fedha 2018/2019.

Watumishi wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji kwa kuitisha kikao hicho cha pamoja kwani kinawawezesha kutoa kero zao zinazowakabili kwa muda mrefu na wamemuomba kuitisha vikao hivyo mara kwa mara.


Daudi Nyingo

Afisa Habari

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

Mbeya

14/09/2018

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.