• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ukipoteza Maisha ni Hasara kwa Familia Yako, ni Hasara kwa Taifa- Mfune

Tarehe ya Kuanza: July 6th, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune alipofanya Mkutano na madereva wanaoendesha vyombo vya usafiri na usafirishaji siku ya tarehe 06/07/2018 katika ukumbi wa polisi Rujewa kwa ajili ya kupanga mikakati ya pamoja ya kudhibiti ajali za barabarani.

Katika mkutano huo Mkuu wa Wilaya ameongozana Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilay, Kaimu Meneja wa TANROAD Mkoa wa Mbeya, Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya ya Mbarali pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Mbarali kwa ajili ya kutoa kutoa elimu mbalimbali kuhusiana na Usalama barabarani na kujikinga na ajali.

Mhe. Mfune ameziagiza taasisi zote zilizo chini yake kutekeleza majukumu yao ili kuhakikisha zinakomesha ajali za barabarani katika Wilaya ya Mbarali.

 “ni marufuku kufanya biashara kwenye hifadhi za barabara, ni marufuku kuweka mabango bila ruhusa au kibali kutoka kwenye mamlaka husika, magari yote yalioharibikia katikati ya barabara yaondolewe ndani ya masaa sita, marufuku kuendesha powertila usiku na ni marufuku powertila kutumika kubebea abiria” 

“elimu hii iliyotolewa itaendelea kutolewa na maeneo mengine, Serikali inawajali wananchi wake ndio maana tunachukua hatua mbalimbali, kuna mambo yalikuwa yanafanyika kimazoea, na tunayafanya haya yote kwa ajili ya mustakabali wa maisha yetu”

Mhe. Mfune amemuagiza Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya ya Mbarali Ndg. George Mpemba kuhakikisha wanatengeneza barabara zilizo bora na zenye viwango sambamba na kuweka alama za barabarani.

Vilevile amemuagiza Kaimu Meneja wa TANROAD Mkoa wa Mbeya Ndg. Given H. Njiro kuainisha sehemu zote zinazotakiwa kuwekwa vituo vya kusimama abiria ili vyombo vya usafirishaji visiweze kusima sehemu ambazo hazijatengwa, na atakaekiuka atatozwa faini kwa mujibu wa sheria.

Mhe. Mfune amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Kivuma Msangi kuweka utaratibu wa kuzipatia namba powertila zote zilizopo Wilayani ili ziweze kutambulika na kuchukuliwa hatua pale zitakapokiuka sheria. Vilevile amemtaka Mkurugenzi  kutengeneza eneo la Stendi katika kata ya Lugelele pamoja na eneo la maengesho ya magali makubwa, sehemu zote zilizotengwa kwa ajili ya Stendi zianze kutumika ikiwamo Stendi mpya ya Chimala

Sambamba na hilo amelitaka Jeshi la Polisi Wilaya ya Mbarali kukaza uzi katika kusimamia sheria za Usalama Barabarani katika kudhibiti ajali pamoja na Jeshi la Zimamoto kuendelea kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi.

Katika Kikao hicho ambacho kilihudhuriwa wasafirishaji mbalimbali wakiwemo madereva wa mabasi, madereva wa Magari ya Mizingo, Madereva wa Daladala, Madereva wa Bajaji, Madereva wa Pikipiki pamoja na madereva wa powertila elimu mbalimbali zilitolewa kutoka kwenye taasisi za serikari kupitia madereva hao ili nao waweze kuzisambaza kwa manufaa ya umma.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.