• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Unapofanya Kazi ni Lazima Jasho Lako Lilingane na Kipato Unachokipata – Mfune

Tarehe ya Kuanza: June 2nd, 2018

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune alipokuwa  akiendelea na ziara zake za kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ujazo wa maguni ili wasiweze kudhulumiwa na baadhi ya madalali pamoja na wafanyabiashara wasio na nia nzuri kwa wakulima katika kituo cha Radio ya Highland FM siku ya tarehe 01/06/2018, pamoja na mikutano ya hadhara katika kata za Itamboreo na Ubaruku siku ya tarehe 02/06/2018.

Katika ziara hizo Mhe. Mfune ameendelea kuwasisitiza wakulima wa Wilaya ya Mbarali kuwa na misimamo katika kujipangia bei, kuwa na umoja, kushikamana pamoja na kuwa na sauti moja pindi wanapouza Mazao yao ili  waweze kunufaika na jasho lao.

“Mifuko zaidi ya debe saba ni marufuku, kuuza mpunga mbichi ni marufuku, madalali pamoja na wafanyabiashara uchwala ni marufuku katika wilaya yangu, ukikamatwa kwa kuzidisha ujazo wa debe saba au kilo 100 za mpunga utalipa faini mara mbili, kwa mujibu wa sheria, sheria namba 340 ya wakala wa vipimo ya kuzidisha ujazo pamoja na sheria ya Halmashauri ya kukwepa kulipa kodi”

“Huwezi kwenda dukani na ukaomba ujipimie mwenyewe sukari, ni lazima utapimiwa na mwenye duka, na inapofika suala la kuuza mpunga, fanya hivyo kwenye mpunga wako, pima mwenyewe”

Akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wananchi kwenye mikutano hiyo Mhe. Mfune alisema kuwa kwa wale ambao walikopeshana fedha na kuahidiana kulipana magunia ya mpunga bila ya kuwa na vibali wala Leseni za kukopeshana kwa mujibu wa sheria, ameagiza kiwango cha kulipana kiwe ujazo wa debe saba kwa gunia au kilo mia tu. Msimu ujao wa Kilimo kukopeshana lazima kufuate sheria zilizoweka.

Aliongeza kuwa kwa msimu ujao wa mavuno itakuwa ni marufuku kwa mkulima kuuzia Mazao shambani, utaratibu utawekwa ili kuwe na soko la pamoja, mfanyabiashara atalazimika kufuata bidhaa sokoni, kufanya hivyo kutasababisha anaelima apate haki yake na anayenunua apate haki yake, na ifike kipindi wizi kwenye mazao uwe mwisho kwa Wilaya ya Mbarali.

Sheria ya Wakala wa Vipimo sura namba 340 kifungu namba 46 kinatamka kuwa ujazo wa gunia la mpunga haitakiwi kuzidi kilo 75, tukiwa tunasubiri mchakato wa sheria kufanyiwa marekebisho na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ujazo uwe wa kilo 100 au debe saba za mpunga, kinyume na hapo hatua za kisheria zitachukuliwa pamoja na adhabu ya faini kuanzia shilingi laki 1(TZS 100,000/=) hadi milioni 50.

Kwa upande Halmashauri ukikutwa na ujazo unaozidi kilo 100 au zaidi ya debe saba za mpunga unakuwa unakwepa kodi, utalazimika kulia faini ya kuanzia laki 2 (TZS 200,000/=) hadi milioni 1 (TZS 1,000,000/=) kwa mujibu wa sheria ya fedha ya mwaka 2017/2018 iliyofanyiwa marekebisho.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.