• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Watendaji 42 Warudishwa Kazini Mbarali

Tarehe ya Kuanza: April 18th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, imewarejesha kazini watendaji wa vijiji 42 waliosimamishwa kazi ikiwa ni Utekelezaji wa agizo lililotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumisi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika (Mb), lililowataka waajiri wote kuwarejesha watumishi ambao waliajiriwa kabla ya Mei 20, 2004.

Akizungumza na watendaji hao ofisini kwake siku ya Jumatatu ya tarehe 16 Aprili 2018, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndg. Kivuma H. Msangi amewataka Watendaji wote waliorudishwa kazini kwenda kufanya kazi kwa bidii ikiwamo kutatua kero za wananchi na kuhakikisha zinaishia kwenye maeneo yao, kushirikia na Viongozi wa ngazi zote pamoja na kuhakikisha vikao vyote vya kisheria vinaitishwa.

“Tunawaamini mkafanye kazi, anzeni kwa spidi mpya, mkaonyeshe pengo lenu ili kila mtu aone umuhimu wenu, mkatoe ushirikiano kwa watendaji wapya waliojiriwa maana wengi ni wageni wanategemea uzoefu wenu”

Naye Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala Ndg. Aswege Kaminyoge, amewataka watumishi wote waliorudishwa kazini kuwa wavumilivu kuhusiana na suala la mishahara pamoja na stahiki zao kwani Serikali itatoa utaratibu wa upatikanaji wake.

Akimalizia Ndg. Mganga Ngomuo ambae ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, amewapongeza watumishi hao kwa kuwa na subira kwa muda wote waliokuwa nje ya vituo vyao vya kazi bila malalamiko yeyote na amewaasa kwenda kufanya kazi kwa bidii ili waonyeshe utofauti ikiwa pamoja na kwenda kuwajengea uwezo watendaji wapya waliojiliwa.

Akizungumza kwa niaba ya watumishi wote waliorudishwa kazini Ndg. Blastus Minzi alisema kuwa, wamepokea vizuri na kwa furaha kurudishwa kazini kwani hawakutegemea kurudi tena kuwatumikia wananchi, vilevile  ameishukuru Serikali kwa kuwajari na kuthamini mchango wao na wameahidi kufanya kazi kwa bidii kwa kwa mujibu wa sheria kwa manufaa ya wananchi wote wa Mbarali.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.