• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Waziri wa Maji Atembelea Bwawa la Lwanyo Mbarali

Tarehe ya Kuanza: March 24th, 2018

Waziri wa Maji na  Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe amefanya ziara katika Wilaya ya Mbarali siku ijumaa ya tarehe 23/03/2018 ili kujionea changamoto mbalimbali zinazolikabili Bwawa la Lwanyo  ililopo katika Wilaya ya Mbarali ambalo limejengwa na kusimamiwa na Tume ya Umwagiliaji  Kanda ya  Mbeya kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Akiwa katika bwawa hilo Mhe. Waziri amejionea changamoto mbalimbali linazolikabili Bwawa hilo zikiwamo Uvujaji wa maji baadhi ya sehemu za ukuta, maji kubadili njia pamoja na chemchemu iliyopo eneo hilo na ameahidi kwenda kulitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na wataalamu wake kutoka wizarani.

Mhe. Kamwelwe ameahidi  kutoa tamko ndani ya wiki mbili mara baada ya kwenda kuangalia upya mchoro wa bwawa hilo ili kuweza kubaini tatizo na kulitafutia ufumbuzi vilevile kujiridhisha ili isitokee akamwonea mtu kama atabaini kuna uzembe ulifanyika kipindi cha ujenzi wa bwawa au kama kuna vitu vimefanyika bila kufuata utaratibu.

“Hatuwezi kuvaa nguo iliyochakaa baadae uvae koti jipya juu, tuvae zote zilizo mpya ili tukae salama”

Akiwa katika ziara hiyo Mhe. Waziri ameweza kusikiliza maoni mbalimbali ya wananchi ambao wamezungumzia athari wanazozipata kuhusiana na bwawa hilo pamoja na changamoto zilizojitokeza kipindi cha ujenzi, kwani baadhi yao walikuwa ni vibarua kipindi Bwawa linajengwa.

Kukamilika kwa Bwawa la Lanyo kuna faida kubwa kwa ustawi wa wananchi wa Mbarali hasa katika kata zinazoizunguka kata ya Igurusi. Faida hizo ni kuzuiwa kwa maafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha, kuvunwa kwa maji ya mvua na kutumika katika Kilimo kipindi cha kiangazi na masika ambapo itasaidia kuongeza kipato kwa wakulima kwani kipindi cha masika kunakuwa na ongezeko la hekta 1000 za Mazao na kipindi cha kiangazi kunakuwa na ongezeko la hekta 400 za mazao ya Kilimo, vilevile  maji hayo kutumika katika shughuli za kawada za majumbani  pamoja na viwandani.

Daudi Nyingo

Afisa Habari na Mahusiano

Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbeya

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA DKT JUMA ZUBERI HOMERA AKIZINDUA NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NYEREGETE

    June 05, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.