• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kusikiliza kero za wananchi
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Mipango na Takwimu

IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia upangaji na uratibu wa mipango ya maendeleo katika miaka husika, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri, Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji. Idara hii ina watumishi 6 ikiongozwa na Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri akisaidiwa na watumishi wafuatao

Mtakwimu                   1

Mchumi                       3

Katibu Muhtasi           1

na imegawanyika katika sehemu tano kama ifuatavyo:-

Ø Mipango na Sera

Ø Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo

Ø Tafiti na Takwimu.

 Sehemu ya Mipango na Sera

Majukumu ya sehemu hii ni kama ifuatavyo:-

Ø Kusimamia Uandaaji wa mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi kila mwaka.

Ø Kuratibu ufanisi wa mifuko ya Halmashauri: LGCDG, Mfuko wa Jimbo na fedha za mapato ya ndani.

Ø Uratibu na utayarishaji wa Mipango shirikishi katika Kata zote za Halmashauri kupitia Mfumo wa O&OD.

Ø Uratibu na utayarishaji wa Mpango na Bajeti ya kila mwaka ya Halmashauri.

Ø Kusimamia uandaaji wa mipango kazi (Action Plans) ya bajeti za kila mwaka na kuziwasilisha katika ngazi husika..

Ø Kuratibu uandaaji wa maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo.

Ø Kuratibu maandalizi na utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN)

Ø Kuratibu maandalizi ya Sera na Mpango Mkakati wa Halmashauri

Ø Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na taarifa za utekelezaji wa maagizo kutoka mamlaka za juu za serikali

Ø Kuratibu na kusimamia maandalizi ya mipango ya uwekezaji ya Halmashauri.

Ø Kuratibu utekelezaji na uandaaji wa taarifa za mipango ya uwekezaji

 

Sehemu ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi ya

maendeleo.

Majukumu ya sehemu hii yapo kama ifuatavyo:-

Ø Kuratibu uandaaji wa taarifa za Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya 2015 - 2020

Ø Kufuatilia utekelezaji halisi na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo.

Ø Kuratibu miradi ya jumuiya za wananchi na taasisi nyinginezo za ndani na nje ikiwemo miradi ya wahisani

Ø Kuratibu utekelezaji wa Mipango ya muda mrefu, kati na mfupi ikiwepo Ilani ya Uchaguzi na uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa mipango hiyo

Ø Kuratibu utekelezaji wa mipango shirikishi.

Ø Kuandaa taarifa za Miradi ya maendeleo ya Halmashauri kwa vipindi mbalimbali na kuziwasilisha kwenye mamlaka husika.

Ø Kuandaa mapitio ya bajeti ya kila mwaka baada ya kipindi cha nusu mwaka

Ø Kuandaa mapendekezo ya kubadili matumizi ya vifungu vya bajeti ya maendeleo kila inapobidi.

Ø Kuandaa taarifa za matukio ya kila wiki na kuiwasilisha ngazi ya mkoa.

Sehemu ya Utafiti na Takwimu

Sehemu hii hushughulikia masuala yanayohusu takwimu mbalimbali za kiuchumi na kijamii pamoja na kuratibu shughuli za utafiti kama ifuatavyo:-

Ø Kuratibu na kusimamia benki ya Takwimu ya Halmashauri ikihusisha takwimu za LGMD.

Ø Kuhuisha na kuboresha Takwimu za Kiuchumi na Kijamii (Profile) za Halmashauri.

Ø Kuratibu na kuhifadhi takwimu za Idadi ya watu za Halmashauri kwa kutumia rejista za wakazi wa Mitaa.

Ø Kuratibu na kutathmini utekelezaji wa Mpango mkakati wa Halmashauri 2013/14 – 2017/18

Ø Kuratibu zoezi la Sensa ya Watu na Makazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA CHANJO YA KINGA YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WASICHANA WOTE WALIOTIMIZA UMRI MIAKA 14 April 21, 2018
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI TAREHE 20/04/2018 April 20, 2018
  • WAZIRI WA NISHATI KUTEMBELEA MBARALI, KUONGEA NA WANANCHI, KUZINDUA MIRADI YA UMEME PAMOJA NA UPANUZI WA HUDUMA April 19, 2018
  • MKUU WA MKOA WA MBEYA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WILAYA YA MBARALI TAREHE 11/04/2018 April 06, 2018
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • VIJIJI 102 KUWAKA UMEME IFIKAPO AGOSTI 2019 MBARALI

    April 22, 2018
  • MFUNE ATOA WIKI MBILI KWA WALIOKAIDI KUPISHA UPANUZI WA BARABARA KUPISHA MARA MOJA

    April 21, 2018
  • Watendaji 42 Warudishwa Kazini Mbarali

    April 18, 2018
  • Ghala la Kisasa la Kuhifadhia Nafaka Linalopatikana Katika Kijiji cha Mbuyuni Kata ya Mapogoro

    April 08, 2018
  • Tazama

Video

UCHAGUZI MDOGO VIJIJI VYA MWANAVALA NA WALUMBA KUFANYIKA TAREHE 24/09/2017
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255713317374

    Barua Pepe: ded.mbarali@mbeya.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2018 GWF . All rights reserved.