• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kila Zahanati iwe na Nyumba Mbili za Wauguzi-Kamwela

Tarehe ya Kuanza: May 16th, 2021

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Daniel Kamwela kwenye sherehe ya siku ya Wauguzi ambapo kiwilaya imedhimishwa siku ya tarehe 15/05/2021 katika viwanja vya Hospitali ya Wilaya na baadae katika ukumbi wa jumbo Hoteli uliopo Kata ya Lugelele.

Akizungumza katika sherehe hiyo Kaimu Mkurugenzi Kamwela alisema kuwa anatambua kuwa kuna upungufu wa nyumba za wauguzi, Ofisi ya Mkurugenzi itawasilisha pendekezo kwenye vikao vya Mabaraza ya Madiwani ili kujenga nyumba mbili za watumbishi kwa kila zahanati ili kupunguza changamoto hiyo.

 

“Najua mna changamoto nyingi ikiwemo uhaba wa nyumba za kuishi, ila niwapongeze kwa kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha wagonjwa wanapona. Niwahakikishie kuzifanyia kazi changamoto zenu. Serikali itaendelea kuajili watumishi kidogokidogo kwa ajili ya kukabiliana na tatizo hilo, kwani kama watu watakuwa wagonjwa taifa litakuwa dhaifu na maendeleo yatashuka.”

 

“Leo mmejikumbusha kiapo chenu cha uuguzi ambacho kinawaagiza kusimamia usalama wa wagonjwa na wateja wanaokuja katika vituo vyenu vya kutolea huduma, sitapenda katika Halmashauri yetu kusikia kuna muuguzi amesimamishwa kazi kwa kosa la kumnyanyasa mgonjwa au kutoa siri za wagonjwa.” Alisema Kamwela.

Wakiongea katika risala yao wauguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali walisema kuwa kwa sasa kuna upungufu mkuwa wa wauguzi kwani wanaohitajika ni 402 na waliopo hadi sasa ni 202 ambapo upungufu huo unaendelea kuongezaka kutokana na kufunguliwa kwa zahanati mpya pamoja na vituo vya Afya.

Changamoto nyingine walizozitaja ni pamoja na uhaba wa nyumba za watumishi, upungufu wa vitendea kazi, kupandishwa vyeo pamoja na malimbikizo ya mishahara ila wanaushukuru uongozi wa Halmashauri kwa kuwajari na kuithamini kada ya uuguzi kwani kitendo hicho kinawaongezea ari ya kuongeza bidii katika kufanya kazi.

Naye mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Dkt. Godfrey Mwakalila alisema kuwa idadi ya wazazi wanaojifungua katika vituo vya kutolea huduma imeongezeka kutoka 13,740 kwa mwaka 2019 hadi 13,816 kwa mwaka 2020, idadi ya vifo vya uzazi imepungua kutoka vifo 8 kwa mwaka 2019 hadi 5 kwa mwaka 2020.

Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali Bi. Eda Kidenya alisema kuwa wauguzi wanaendela kufanya kazi kwa juhudi pamoja na uchache walionao vilevile kwa sasa wanapata posho za sare za uuguzi kama mwongozo unavyotaka.

Kauli mbiu ya siku ya Wauguzi mwaka 2021 ni WAUGUZI SAUTI INAYOONGOZA DIRA YA HUDUMA YA AFYA.

Sherehe hizo zilianza kufanya usafi katika mazingira yote ya hospitali, maandamano, ugawaji wa zawadi kwa wagonjwa wote, Kiapo kwa Wauguzi wote, ugawaji wa zawadi kwa wauguzi wanaostaafu, igizo, elimu ya ujasiliamali pamoja na burudani ya mziki

Siku ya wauguzi huadhimishwa kila mwaka tarehe 12/5 kwa kumbukumbu ya Muuguzi BI, FRORENCE NIGHT NGALE ambaye alizaliwa huko Italia tarehe 12/05/1820 akiwa ni mtoto aliyetokea katika familia ya kitajiri lakini aliyejaliwa kuwa na moyo wa huruma na wito katika swala zima la huduma kwa wagonjwa.

Mnamo mwaka 1833 ilipotokea vita kati ya Waingereza na Warusi, Muuguzi huyo alipata huruma kuwaona askari waliojeruhiwa wakiwa wameachwa bila msaada wowote na yeye alijitoa mhanga kuwahudumia majeruhi hao kwa kuwafunga vidondo vyao.

Nyakati hizo hapakuwepo na mwanga wa umeme au taa maeneo hayo. Lakini alitumia vibatari na kufanikiwa kutoa huduma vizuri na majeruhi walipona.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DED MPYA AWASILI MBARALI

    June 30, 2025
  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.