• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Kudhibiti UKIMWI

HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

 

Mhe. Bahati Mwalinginalyo

 

Mwenyekiti wa Kamati

 

 

 

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI

  

WAJUMBE WA KAMATI 

 

NA

JINA KAMILI

DIWANI WA KATA

JINSI

WADHIFA

1.
Mhe. Bahati Mwalinginalyo
Ihahi

Me

Mwenyekiti
2.
Mhe Francis Mtega
Chimala

Me

Mjumbe
3.
Mhe. HaroonPirmohamed
Mbunge

Me

Mjumbe
4.
Mhe. Mashaka Mgonjwa
Mwatenga

Me

Mjumbe
5.
Mhe. Paskalina E. Ndungulu
VitiMaalumu Madibira

Ke

Mjumbe
6.
Mhe. Turuketh S. Kashu
VitiMaalumuImalilo Songwe

Ke

Mjumbe
7.
Mhe. Yusuphu Mhando
Mawindi

Me

Mjumbe
 






Majukumu ya kamati:

  • Kuhakikisha kamati za VVU na UKIMWI zinaundwa na kufanya kazi kwa kila ngazi kwa kufuata miongozo inayotolewa.
  • Kuhakikisha tathmini ya hali halisi ya VVU na UKIMWI katika Halmashauri inafanyika na kuweka mikakati ya utekelezaji kila mwaka.
  • Kuhakikisha mipango yote ya UKIMWI na wadau wanaotekeleza katika Halmashauri husika vinaingizwa kwenye mpango Mkakati wa UKIMWI wa Halmashauri na Mkoa ili kuondoa urudufu wa juhudi na rasilimali.
  • Kuhimiza Halmashauri kutenga fedha za mapato ya ndani na kushirikisha wadau katika kuchangia rasilimali hizo kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za kudhibiti UKIMWI.
  • Kuhakikisha uwepo wa orodha hai ya wadau wa masuala ya UKIMWI katika Halmashauri.
  • Kutoa ushauri kwa ngazi inayohusika kuhusu sera au sheria ndogo juu ya udhibiti wa VVU na UKIMWI.
  • Kuhakikisha sera, Mkakati wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI, Sheria, Miongozo na matokeo ya tafiti mbalimbali ya masuala ya UKIMWIyanawafikia wadau na wananchi kwa ujumla
  • Kutambua na kutathmini shughuli za wadau mbalimbali wanaotekeleza afua za VVU na UKIMWI katika Halmashauri
  • Kuratibu,Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za VVU na UKIMWI zilizopangwa
  • Kupitia taarifa za Uratibu zinazofanywa na Halmashauri na kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha na kuongeza ufanisi.
  • Kutoa taarifa za shughuli za VVU na UKIMWI kwenye baraza la madiwani kila baada ya miezi mitatu

 


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI April 16, 2021
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU TANGAZO LA SERIKALI NA. 217LA TAREHE 26.02.2021 March 02, 2021
  • MUHTASALI WA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YA MWAKA 2021-2022 February 11, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC AZITAKA KAYA ZINAZOWEZESHWA NA TASAF KUFUGA KUKU, BATA WA ASILI

    March 03, 2021
  • PESCODE VICOBA YATOA MEZA NA VITI 52 MBARALI

    February 26, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI

    February 11, 2021
  • Fanyeni Kazi kwa Bidii kwa Kutumia Taaluma zenu-DC Mbarali

    January 30, 2021
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255713317374

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2018 GWF. Haki zote Zimehifadhiwa.